Tujiulize: Wilaya ya Hai ilikuwa na viongozi wa aina gani. DC Sabaya anatuhumiwa Jambazi na mbunge Mbowe anatuhumiwa Gaidi

Kwamba Rais Magufuli aliteua jambazi kuongoza wilaya kama mkuu wa wilaya na mjumbe wa kamati ya siasa ya mkoa!!!

Kwamba mwaka 2015 wananchi wa Hai walichagua Gaidi likawawakilishe bungeni!!

Huko Hai wanakaa watu wa aina gani?......wajaluo?!!!
Unaugomvi na Wajaluo?:p
 
Kwa gaidi (mbunge) inawezekana ikawa kweli.. we hukuona alivyopigwa mawe, na kutupiwa chupa za mikojo siku ile? Wengi walikuwa washaanza kumjua kama jamaa ni hatari, lkn walishindwa kutoa taarifa kwa sababu ya usalama wao.
 
Kwamba Rais Magufuli aliteua jambazi kuongoza wilaya kama mkuu wa wilaya na mjumbe wa kamati ya siasa ya mkoa.

Kwamba mwaka 2015 wananchi wa Hai walichagua Gaidi likawawakilishe bungeni.

Huko Hai wanakaa watu wa aina gani?......wajaluo?!!!
Ila we jamaa, Haaa.

Haki ya Nani.

Hai inafaa sasa ipewe hadhi ya Nchi.
 
Kwamba Rais Magufuli aliteua jambazi kuongoza wilaya kama mkuu wa wilaya na mjumbe wa kamati ya siasa ya mkoa.

Kwamba mwaka 2015 wananchi wa Hai walichagua Gaidi likawawakilishe bungeni.

Huko Hai wanakaa watu wa aina gani?......wajaluo?!!!
Kama ungetuhumiwa na polisi kuwa wewe ni jambazi au gaidi, je ungegeuka mara kuwa jambazi au gaidi? Nauliza hivi nikisimama kwenye Ibara ya 13(6)(b) ya Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania inayosema: "ni marufuku kwa mtu aliyeshtakiwa kwa kosa la jinai kutendewa kama mtu mwenye kosa hilo mpaka itakapothibitika kuwa anayo hatia ya kutenda kosa hilo."
 
Hivi ilikuaje gaidi akafika bungeni bila TISS kutufahamisha,nadhani ugaidi wa mbowe umeanza baada ya kupigwa chanjo
 
Kama ungetuhumiwa na polisi kuwa wewe ni jambazi au gaidi, je ungegeuka mara kuwa jambazi au gaidi? Nauliza hivi nikisimama kwenye Ibara ya 13(6)(b) ya Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania inayosema: "ni marufuku kwa mtu aliyeshtakiwa kwa kosa la jinai kutendewa kama mtu mwenye kosa hilo mpaka itakapothibitika kuwa anayo hatia ya kutenda kosa hilo."
Kiongozi hapaswi kutuhumiwa - J K Nyerere!
 
Ukiwa eneo la majambazi au magidi kiroho atmosphere hiyo ni rahisi ku catch their spirit
 
Kwamba Rais Magufuli aliteua jambazi kuongoza wilaya kama mkuu wa wilaya na mjumbe wa kamati ya siasa ya mkoa.

Kwamba mwaka 2015 wananchi wa Hai walichagua Gaidi likawawakilishe bungeni.

Huko Hai wanakaa watu
Ujambazi ni tabia ya mtu. Ugaidi unatengenezwa
 
Back
Top Bottom