Hili swali najua wengi tumekuwa tukijiuliza bila kupata majibu sahihi.
Chama Cha Mapinduzi kiliundwa tarehe 05 February 1977 kutokana na kuunganishwa kwa vyama vikuu vya Tanu kwa Tanganyika na...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Chanjo ya COVID19 Ikulu Dar, Saa tatu asubuhi Julai 28, 2021
Tanzania ilijiunga na Mpango wa COVAX Juni 15, 2021 na imepokea shehena ya...
Dunia ya Mungu ina mengi. Ndiyo maana waungwana walisema ukiyastaajabu ya Mussa jiandae kuyaona ya Firauni.
Inasemekana Freeman Aikaeli Mbowe alikuwa mtoto wa ubatizo kwa hayati baba wa taifa...
1: Tamko la polisi la kwanza lilitoa tuhuma za Mbowe kutaka kuua viongozi leo ilo shitaka halipo kwenye hati ya mashitaka.
2: Mbowe ametuhumiwa kufadhiri kundi la kigaidi halafu ilo kundi la...
Maisha ya Tanzania yamejawa na matukio leo uraiani kesho Serikalini kama sio huku basi itatokea Kanisani au kwenye Chama cha Siasa. Bahati mbaya mambo ya msingi hayatiliwi maanani kabisa. Hebu...
ALAANI MCHAKATO WA UPINZANI KUDAI KATIBA
"Mimi mwenyekiti wa UWT mkoa wa Njombe nalaani chokochoko hizo na zaidi nawaomba watanzania wenye mapenzi mema na nchi hii kuendelea kuunga mkono juhudi...
Wiki yote iliyopita iligubikwa na maagizo mbambali ya kujikinga na ugonjwa hewa wa corona Tanzania.
Yani ugonjwa wa corona unatafutwa kwa tochi nchini Tanzania.
Dunia inakotoka sisi watanzania...
Kuna mengi yatakuja kuwa public lakini litakalowashtua wengi ni ‘Diary’ hii ya kiongozi ambayo ilikuwa ‘funga mwaka’ ya 2020.
Wachache mtanielewa kwa sasa lakini funzo kuu ni kuwa uandishi wa...
Yaani Mama unaridhia ushauri uliopewa na wanaokusaidia kazi na kisha unatoa baraka zako utekelezaji uanze.
Baada ya hapo, unakaa unatulia na unaridhika kabisa kuona yanayoendelea huku ukijua...
Ukweli ni kwamba, yanayoendelea kwenye hii nchi yanaumza.
Lakini kabla hatujatupa lawama kwa Amiri Jeshi mkuu lazima tujue kwanza alipo na tujue nini msimamo wake kwenye mambo yanayowafanya...
Awamu ya sita na mwendelezo wa awamu ya tano ya mwendazake imefika “shingoni” mwa mwenyekiti FREEMAN AIKAELI MBOWE.
Mashtaka ya kigaidi aliyopewa jana ni mwendelezo wa vitendo vya kikandamizaji...
Taratibu tunasonga na uelekeo huu si mbaya.
Bila barakoa tusionane kwenye usafiri wa umma yaani mabasi zikiwamo dala dala na ferry. Tusionane pia sokoni wala popote penye mikusanyiko.
Hili si...
Kuna mambo mengi sana yamefanyika ambayo ni ya kushtusha na yote yametendwa bila idhini ya mama.
Nina wahakikishieni kwamba, msishangae ukimya wa mama. Siku chache mtashangaa vigogo...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango leo ameweka jiwe la msingi katika Jengo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini - Mtwara lililopo Manispaa ya...
Ile kauli ya 'anaupiga mwingi' inaweza kuwa na ukweli kuliko tunavyodhani. Yaani ni mchakamchaka wa kufa mtu.
Ikitokea tu kuna mjadala wa moto unaendelea basi ndani ya siku mbili tatu unakua...
Hii ni mikusanyiko ya lazima ukizingatia kwamba Corona inajua kwamba huyu ni Waziri anayehusika na fedha. Corona inajua hawa waliokusanyika wameitwa na Waziri kwa hiyo Corona itafanya process...
Habari wana JF na Watanzania kwa Ujumla.
Kama ilivo wazi kwa wadau na wanaharakati wa Siasa hapa inchini, Moja ya eneo of Great interest katika Masuala ya Siasa ni kubadilishwa/kurekebishwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.