Naibu waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara: Kumekuwa na mzaha mzaha, unatoa maelekezo hata mheshimiwa Rais juzi ametoa maagizo watu wanaibuka wanazungumza mambo yao ambayo kwakweli ni...
Aliyekuwa Mkurungezi wa Azam tv ameteuliwa kuwa Mkurungezi wa Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar
===
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi...
Ni zaidi ya wiki mwenyekiti wenu Freeman Mbowe ananyea debe huko lupango.
Lakini nyie ambao mpo huru mmeridhika tu na kunung’unika kwenye mitandao.
Kwa nini hamjaingia barabarani kupigania uhuru...
Waziri wa afya Dkt. Gwajima amesema mikoa itakayoonyesha kusuasua kwenye uchanjaji wa Corona basi watanyang'anywa hizo chanjo na kupelekewa mikoa iliyochangamka katika uchanjaji.
Chanzo: Star tv...
Hizi fedha zinajenga barababara ukubwa gani? Kwanini fedha hizi kwa idadi ya majimbo tuliyonayo zingekabidhiwa TARURA ZIKAJENGA barabara kwa kuzingatia kipaumbele Cha Tarura kuliko kutawanya fedha...
"Awamu ya tano Zito Kabwe alikuwa anapinga kila kitu hata yaliyokuwa ndani ya Ilani ya Chama chake,leo yupo kimya pamoja na maswahibu yote yanayowapata wananchi kwenye Kodi za umauti za Miamala...
Nimefanya utafiti wangu kwa kuitembelea Hospitali ya Wilaya yetu tangu Machi, 2021 mpaka mara ya mwisho jana.
Wagonjwa wengi waliokuwa wakiletwa wakiwa katika hali ya kuhitaji huduma ya haraka na...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amepokea taarifa ya Kamati ya uchunguzi wa tukio la moto uliotokea katika soko la Kariakoo.
Amepokea taarifa hiyo kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo, CP Liberatus...
========
Mtangazaji: Wewe umeuonaje mpka sasa uongozi wa Mama Samia Suluhu Hassan?
James Mbatia: Ndugu Samia Suluhu Hssan aliingia madarakani ile tarehe 19/03/2021 na akala kiapo kwa taratibu...
Leo nikiwa hapa Russia nimepata kuongea na Afisa uhamiaji ambaye amesema taarifa anazotoa ni nyeti na wala serikali isingependa zijulikane kwa raia wake maana zitaonesha Udhaifu wake.
Tumejadili...
Yaani nikimkumbuka Babu wa Loliondo alivyowanywesha mizizi na majani ya pori viongozi wetu mawaziri wabunge wakuu wa mikoa wilaya na wafanyabiashara naishiwa nguvu kabisa.
Hakika ulikuwa ni...
Haya malalamishi yamekuwapo siku nyingi sana toka kwa Mabenki kuhusiana na Kampuni za mawasiliano kufanya kazi kama Benki za Akiba yaani zaidi ya Mobile Transfers (Mfano Moneygram, Western Union...
Uliokuwa ugonjwa kama yalivyo mengine, ulifanywa siasa hatimaye kuwa vita tokea kwa mabeberu na watu wakaaminishwa hivyo.
Badala ya gonjwa kuwa chini ya wataalamu wa Afya, Sirro na hata...
Hakika Mzee wetu Lowassa alikua sahihi sana kisema kipaumbele chake ni ELIMU, ELIMU, ELIMU
Rais Samia unakazi sana kuongoza vichwa vya namna hii.
Mtu unamuuliza nipe sababu za kukataa chanjo...
Ndugu zangu,
Laana ya usaliti ni mbaya, enzi zile za Dr. Slaa, Chadema ilikuwa inategemea umma kwa dhahma yoyote waliyopata ungesikia "tunaenda kushtaki kwa wananchi" na kweli Serikali ingebadili...
Moshi. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai amepiga marufuku abiria wanaoingia ndani ya daladala na mabasi yaendayo mikoani kutoruhusiwa kuingia bila kuvaa barakoa ili kupunguza...
Au sisi wengine ni washamba jamani?
---
Rais wa USA, Joe Biden akichomwa chanjo
===
Wizara ya Afya watoa ufafanuzi kuhusu hoja hii, soma hapa chini:
-...
Kumekuwa na wimbi kubwa la vifo vya ugonjwa wa korona karibia kila kona ya taifa hili kama wimbi la tatu lilivyokuja kwa kasi kubwa lakini ukiangalia kwasasa maambukizi ya virusi vya korona...
Mungu alipo iumba dinia na kuwakabidhi Adam na Hawa Mali zote ktk dunia hii ili kuzitunza na kuzitawala.
Najambo kubwa zaidi aliwapa Uhuru wa kuchagua jema au baya.
Sasa kama Mungu muumbaji...
Uwezo wangu wa kisiasa, kiuchumi, na ki-intelijensia ni mdogo sana. Naomba niliweke hili wazi mapema. Sisi ndiyo wale tunaouliza lini "Brazil itacheza na Manchester".
Ninachompendea Mama, tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.