Afande Sele: Awamu ya tano Zitto Alikuwa anapinga kila Kitu, leo yupo Kimya

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,106
2,000
"Awamu ya tano Zito Kabwe alikuwa anapinga kila kitu hata yaliyokuwa ndani ya Ilani ya Chama chake,leo yupo kimya pamoja na maswahibu yote yanayowapata wananchi kwenye Kodi za umauti za Miamala ya simu pamoja na viongozi wenzake wa kisiasa kama Freeman Mbowe " Afande Sele

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
7,461
2,000
Zitto anaoma aibu au anaogopa kumgeuka mama, alishamsifia sana mwanzo, sasa hata yeye na chama chake wakitandikwa viboko kule Zanzibar anaangalia tu, kafungwa mdomo vibaya sana kwa kukubali kuwa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa.
 
Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,411
2,000
"Awamu ya tano Zito Kabwe alikuwa anapinga kila kitu hata yaliyokuwa ndani ya Ilani ya Chama chake,leo yupo kimya pamoja na maswahibu yote yanayowapata wananchi kwenye Kodi za umauti za Miamala ya simu pamoja na viongozi wenzake wa kisiasa kama Freeman Mbowe " Afande Sele

ANATAFUTA KUWA KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
24,391
2,000
Zitto ni opportunist mzuri - hakuachii nafasi kama kuna upenyo wa madaraka na ngawila... si mvumilivu wa kisiasa hasa wakati wa changamoto.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,302
2,000
"Awamu ya tano Zito Kabwe alikuwa anapinga kila kitu hata yaliyokuwa ndani ya Ilani ya Chama chake,leo yupo kimya pamoja na maswahibu yote yanayowapata wananchi kwenye Kodi za umauti za Miamala ya simu pamoja na viongozi wenzake wa kisiasa kama Freeman Mbowe " Afande Sele

I am not an Afande Sele fan. Not one bit.

Lakini, kuna vikao fulani nilikaa na Zitto awali mwakanhuu nika detect kama ana protectionism kwa huyu rais mpya.

Nikafikiri labda ni katika falsafa nzima ya "give her some time" tu.

Lakini kadiri muda unavyoenda simsikii Zitto.

Amekuwa compromised na mfumo?

Anaji compromise mwenyewe kwa kutaka ukaribu na serikali?

Anasema hatujasikia tu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom