#COVID19 Ikulu, imekaaje viongozi kuchomwa chanjo ya Corona bila wauguzi kuvaa gloves?

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Jun 12, 2021
1,061
2,475
Au sisi wengine ni washamba jamani?
2.jpg


1.jpg


---
Captured.PNG

Rais wa USA, Joe Biden akichomwa chanjo

===

Wizara ya Afya watoa ufafanuzi kuhusu hoja hii, soma hapa chini:
-
 
Leo nineona maajabu ya watu wanaotakiwa watuelimishe kuhusu afya zetu wenyewe hawajui ata lufata tararibu za kulinda afya ze wengine!

Tusipoelewa msitulamu mjue tu nyie ndiyo chanzo chakuletq mkanganyiko katika jamii.

Hali hii mmelifanya kwenye camera! Je! Mkiwa pekeyenu si ndiyo mnapuyanga

msemajimkuuwaserikali_1627464240789624.jpg
bbcswahili_1627464106400505.jpg
 
Back
Top Bottom