Uhuru nini maana yake?

Mathiasyusuph

Member
Jul 13, 2021
53
68
Mungu alipo iumba dinia na kuwakabidhi Adam na Hawa Mali zote ktk dunia hii ili kuzitunza na kuzitawala.

Najambo kubwa zaidi aliwapa Uhuru wa kuchagua jema au baya.

Sasa kama Mungu muumbaji alitoa Uhuru wa kuchagua mini ufanye ktk dunia hii inakuaje serikali ya CCM inalazimisha tuikubali ktk mambo inayo yàfanya ndani ya Tanzania?

Maana Uhuru wa kutembea , kuabudu, kuchagua kiongozi tumtakae uko juu yetu na kuongea ni Uhuru na kukusanyika.

Ktka Tanzania yetu CCM wameamua kukanyaga na kutokomeza kabisa neno #uhuru ndani ya tz
Ambavywo kila mmoja anao Uhuru alio pewa na Mungu wa kuchagua nini afanye na mini aache.

Sasa CCM na vibaraka wake wameamua kuwa juu ya Mungu kwa kulazimisha watu wawachague ama wawapende ktk utawala wao wa mabavu kwa miaka 60 ya uhuru wa tz.

Hayo mambo setikali ya ccm inayo yafanya hayakubaliki na niyahovywo sana.mnatumia watu walio jificha ndani ya kichaka maarufu mapolice na wakuu wa mikoa na wilaya kuwalszimisha RAIA wrote tuwakubali.huo niujinga mkubwa sana mnao ufanya.

Je, Watanzania tuko huru? Na kama CCM wanala kujifunza wajifunze sasa haya mambo ya kurazimisha tuwapende na kutaka kututawala kila mwaka hatutaki tumewachoka.

Sisi wa tz tunao wajibu wa kukemea na kuonya huu ukiukwaji wa Uhuru unao fanywa na CCM genge lake ndani ya inchi yetu.

Uhuru wa

1: Kuabudu
2: Kuchagua
3: Kusikilizwa
4: Kutoa maoni
5: Kutembea
6: Kukusanyika
7: Kuongea hadhalani.

Hayo hayahitaji luhusa ya police wala mkuu wa mkoa na wilaya na hata raisi nihaki ya RAIA toka zamani na niutalatibu alio uweka Mungu.

Sasa nyie ccm mtalaaniwa ikiwa mtaendeleaa kuvunja hii amri ilio toka kwa MUNGU. Asubuhi njema.
 
Unapoteza nguvu zako juu ya hicho chama cha kijani kamwe hakitabadili mienendo yake

Na siku zote wabongo wataendelea kuwa misekule hata uwaelimishe vipi kamwe hutoona mabadiliko yeyote
 
Unapoteza nguvu zako juu ya hicho chama cha kijani kamwe hakitabadili mienendo yake

Na siku zote wabongo wataendelea kuwa misekule hata uwaelimishe vipi kamwe hutoona mabadiliko yeyote
Kuwa mwoga nako in dalili za kutokuwa huru ila tunaendelea kuwaonya ccm na genge lao haya sio maombi nilazima tuwe guru na watanzania tuamke
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom