Rasmi sasa urafiki wa kinafiki baina ya JPM na Kagame u mbioni kukoma hii ni kwa sababu ya mmoja wapo ni mnafiki-PK.
Kuna sintofahamu kubwa pale mpakani mwa Tanzania na Rwanda pale Rusumo ni...
Ndugu zangu,
Kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 (July) jopo la wanamikakati na washauri wakuu wa CHADEMA liliundwa na watu wafuatao; Dr.W.P.Slaa,Prof.M.Baregu,Wakili M.Marando,W.Lwakatare na kabla...
Chadema kama taasisi inaendesha shughuli zake ofisini kwa mipangilio yake bila kusukumwa, kuchagizwa, kushinikizwa wala kushawishiwa na yeyeto.
Tulipo sasa mwenyekiti mheshimiwa Mbowe (mola...
Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.
Nilitegemea serikali yenye akili ingeweza hata...
Ukiondoa UHABA mkubwa wa kitu kinachoitwa Kipaumbele "Priority" katika nchi yetu ya Tanzania, Kwa miaka mingi Tanzania imekumbwa na UBOVU wa kitu muhimu kinachoitwa mbinu za kufanikisha jambo...
Kweli msanii ni kioo cha jamii.
Msanii Kipanya ameibuka na katuni tatanishi.
Hiyo hapo chini naomba kwa wajuzi wa hizi lugha naomba tuisome na tupeane chakula ya ubongo.
Tangu awamu ya tano tumekuwa na kasumba ya kuandaa sherehe kupokea ndege au kupokea miradi lakini kwa mtizamo wangu mimi mtu wa chini ninaona kama fedheha fulani.
Nilitegemea serikali kuona kitu...
Kwa mujibu wa taarifa hapo juu, Gloves sio lazima kuvaliwa wakati wa kuchoma chanjo ya COVID-19.
Hivyo tunapenda kuwatoa hofu wananchi kuwa Mhudumu aliyewachoma chanjo Mhe. Rais Samia Suluhu...
Mtakuja kusema tumeua polisi wakati tulidhani ni majambazi, yule kamanda mkuu wa polisi aliesema tulale na silaha kama yupo ni bora abadilishe kauli, maana sasa makuruti wanatumwa kutukama saa za...
Najua Naweza kushambuliwa na ambao wanahisi matusi kwamba ndio hoja. Badala ya kutumia ukosoaji Kama SoMo lakini.Naomba kuwauliza.
Hivi Mheshimiwa Mbowe, Hana washauri.Na hii ni kupitia kauli...
1. Ni kusikiliza wananchi wake wanataka nini na kuhakikisha anayafanya. Upinzani wa kwanza Kwa Rais yeyote huanzia Kwa Raia anaowaongoza. Hili ni gumu Kwa Marais wote walio madarakani hawasikilizi...
Mimi niliajiriwa mwaka 2013 na nilipofika halmashauri (Kasulu) tulipewa pesa ya kujikimu palepale ndipo tukapelekwa vituoni.
Lakini leo hii waajiriwa wanakaa miezi kadhaa bila kupewa pesa ya...
Leo wakati wa kupokea ndege mpya, Rais Samia amesema pia wamenunua ndege nyingine ya mizigo kutokana na kukua kwa uchumi.
Ikumbukwe siku chache nyuma Rais Samia alisema kuwa uchumi umeshuka sana...
MHE MWENDA ATAKA MPANGO MKAKATI WA KUTEKELEZA MAJUKUMU, AKAZA KAMBA KERO ZA WANANCHI.
Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ameendelea na ziara yake ya kupita kata kwa kata...
Kwa kiasi kikubwa toka ndugu John Pombe Magufuli alipopata urais mpaka sasa ambapo ndugu Samia Suluhu Hassan ndiyo rais, viongozi waliokuwa / walio chini yao wamekuwa wanatumia maneno yenye...
Bila kuficha Mwigulu anapenyeza kila njia kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa urais.
Magari ya Polisi kwenye msafara na polisi wanaomlinda alipokuwa ziarani Tunduma. Chakushangaza amegeuka...
Kwanini makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu alisema chama chake hakitamwekea dhamana Freeman Mbowe?
Je, Tundu Lissu alijua mapema mashtaka yatakayomkabili Freeman Mbowe na kwamba hayana...
Hatimaye serikali ya awamu ya sita ilitangaza rasmi uwepo wa ugonjwa hatari wa Corona hapa nchini. Hii ikienda sambamba na kutolewa kwa maelekezo thabiti ya hatua gani za kuchukuliwa tunaposubiria...
Kama ambavyo tumekuwa tukiimba kwa katiba bora yetu ya Chama kuliko vyama vyote nchini na Afrika,ni wazi kabisa kua Askofu Gwajima ameleta sintofahamu kubwa sana nchini huku akijua kitendo kile...
Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani hivi leo inasema Tanzania ni nchi kiongozi katika masuala ya usalama katika Bara la Afrika.
Hayo yamesemwa leo na General Stephen Townsend na kuripotiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.