Ni wazi kuwa kwa makamanda wengi suala la chanjo ni muhimu lililokuja likiwa limechelewa mno.
Inafahamika kuwa Chanjo hii imetufikia kutokea kwa tulioaminishwa kuwa ndiyo walio wachawi wetu wakuu...
FORMER TANZANIAN INTELLIGENCE OFFICER: IN A FREE AND FAIR VOTE, THE OPPOSITION WINS
by Evarist Chahali
( ni article ya 2015 but worthy reading)
Jasusi, who is going to win the election?.” This...
"Kati ya mahabusu wa kiume 48 waliokuwepo katika Kituo cha Kirumba, kuna mtoto mwenye umri wa miaka 13. Mtoto huyu, alimsogelea Askofu na kumueleza kwa masikitiko kisa chake. Kwamba siku moja...
Tangu ateuliwe Uwaziri wa Fedha, Dkt Mwigulu Lameck Madelu Nchemba, amekuwa very humble. Amesha-adopt utaratibu na upole wa Mhe. Samia Suluhu Hassan. Juzi alionana na Ndugu yangu ndani ya viunga...
Hata angekuwa anagombea Yesu, Mtume Mohammed au Ibrahim, bado watu wangejitokeza kuwapinga kwa Hoja mbadala,
Hivi Leo hii sababu gani yaweza kumfanya mtanzania anayetaka uongozi apite bila...
"Kama Benard Membe anaamini anakubalika kwenye nchi hii basi atoke ndani ya chama chetu akaungane na wapinzani hadharani kuliko haya anayoyafanya akiwa bado bado mwana CCM, halafu tukutane kwenye...
Wafuasi wa Kibwetere wamegawanyika makundi mawili, wapo wanaotaka kujifanya wanathamini afya zao na kwamba Kibwetere ailiwapotosha au walijua kabisa kwamba Kibwetere anawapotosha lakini kwakuwa...
Kabla hata Zungu hajapendekeza Bungeni kodi kwenye miamala ya simu, mimi nilileta wazo kupitia hapa JamiiForums nikipendekeza tozo kupitia line za simu zitumike kuunda Mfuko wa Bima ya Afya kwa...
Nchi zetu changa zinapelekeshwa kila siku na ubeberu. Ukiwepo mpango wowote wenye maslahi kiuchumi kwa umma ila unakinzana na maslahi ya ubeberu au vikaragosi vyao unakwama.
Ni vigumu mtu kuamini...
Wanakumbi.
CHADEMA wakiongozwa na Tundu Lissu, mmeayaona mataifa ambayo mnataka Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi.
Kesi ya Mbowe ipo Mahakamani, manachoweza kufanya kwa sasa ni kuitaka...
Mifumo ni watu. Taasisi ni watu. Na vyote hivyo ni kwa ajili ya watu.
Hakuna mfumo uliojiumba wenyewe tu na unaojiendesha wenyewe. Hakuna taasisi iliyojitengeneza yenyewe. Hakuna taasisi...
Habari za jioni wanaJF!
Mimi ni muumini wa kumsikiliza kiongozi katika mapambano yoyote.
Upo muda wa taharuki,kutoaminiana, kuchallange, kujadili na hatimaye kuchukua upande na uelekeo.
Mwaka...
Taarifa tulizozipata kutoka kwa Mdaku kutoka Ufipa ni kuwa shughuli zote za uratibu wa chama zimesimama kutokana na kesi inayo, kabili Mwenyekiti huyu wa maisha na mwenye hisia za umiliki wa chama...
Raisi Samia anafanya makosa ambayo Hayati Magufuli na wapambe wake walifanya. Magufuli alifanya vitu vingine ambavyo havikuwa na tija kwa taifa.
1. Kubishana na Lissu kuhusu yeye kupigwa risasi...
UZINDUZI WA REPORT YA HAKI ZA BINADAMU NA BIASHARA 2020/2021
Legal and Human Rights Centre (LHRC) on 29th July, 2021, launched the Tanzania Human Rights and Business Report that provides the...
Huo utata lazima umalizwe sasa.
ACT Wazalendo na Chadema ni kipi ndicho sahihi na kwa sababu gani kiwe chama kikuu cha upinzani?
Naomba wajuzi wa hayo mambo mtujuze.
Tanzania tunaijua na Watanzania Tunawajua.
Urais tunaujua na sifa za kugombea Urais tunazijua.
Rais Bora tunamjua na sifa za Rais Bora tunazijua.
Je, kwa Aina ya utawala tulionao na kwa nia ya...
Source: Wizara ya Mambo ya Ndani na TBC
Waziri wa Mambo ya ndani Mheshimiwa Simbachawene amemshauri Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA kujiuzulu kwa kushindwa kuzalisha...
Mwanza. Baadhi ya viongozi wa Chadema waliokamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kuhusiana na kongamano la Katiba Mpya lililozuiwa, wamesimulia jinsi walivyokamatwa usiku wa kuamkia Julai 21...
Shahidi wa Sita Bakari Msangi (38) amemtambua kwa kumgusa bega la kushoto mahakamani mshtakiwa namba tatu, Daniel Mbura kuwa ndiye baunsa aliyekuwa akimpiga kipigo kikali katika duka la Shaahid...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.