Waziri Mkuu apokea taarifa ya Uchunguzi wa Moto soko la Kariakoo

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,735
6,281
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amepokea taarifa ya Kamati ya uchunguzi wa tukio la moto uliotokea katika soko la Kariakoo.

Amepokea taarifa hiyo kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo, CP Liberatus Sabas na kuahidi kuwa serikali itayafanyia kazi mapendekezo yote yaliotolewa na kamati hiyo.

20210727_205021.jpg
20210727_205026.jpg
 
Taharifa imepokelewa kwa mbwembwe as if kulkuwa na tukio la kupongezwa mtu hapo..ndio ujinga wa hii serkal, hapo data zimeshachezewa weee na kueditiwa kwa kila namna alafu sie wananchi tutasimuliwa hadith zakipuuzi tu hapo kama sio kujimwambafai bas utasikia majibu mepes kabisa.

Hiyo kamat iliyopewa kaz ni ya hovyo, na aliye toa order ya kuunda kamat nae alifanya maamuz ya hovyo vile vile, nyie mtayasikia tu majibu yenyewe
 
Taharifa imepokelewa kwa mbwembwe as if kulkuwa na tukio la kupongezwa mtu hapo..ndio ujinga wa hii serkal, hapo data zimeshachezewa weee na kueditiwa kwa kila namna alafu sie wananchi tutasimuliwa hadith zakipuuzi tu hapo kama sio kujimwambafai bas utasikia majibu mepes kabisa...hiyo kamat iliyopewa kaz ni ya hovyo, na aliye toa order ya kuunda kamat nae alifanya maamuz ya hovyo vile vile, nyie mtayasikia tu majibu yenyewe
Serikali ya matukio na yenye kutengeneza habari, hebu tusubiri watu ambao watageuzwa "scapegoat"
 
Back
Top Bottom