Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo Tarehe 29 Julai, 2021 Benki ya Dunia inazindua Toleo la 16 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania, yaani "16th Tanzania Economic Update" Toleo la Hali ya Kiuchumi Tanzania huchapishwa...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Mimi ni mdau ambaye naunga mkono sana mabadiliko ya Katiba lakini mpangilio wa sasa ambao unaongozwa na CHADEMA sijaupenda na hautasaidia mafanikio haya kwasababu zifuatazo 1. Rais mpya Samia...
5 Reactions
52 Replies
3K Views
Katiba ni kipaumbele kweli lakini bado wananchi hawajashirikishwa vya kutosha. Wakishirikishwa vya kutosha nguvu itakuwa kubwa mno ktk kudai katiba,, watawala wataogopa tu.
8 Reactions
52 Replies
4K Views
Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) inatarajia kutumia kiasi cha shilingi Bilioni 1,015,000,000 kufikisha huduma ya mawasiliano katika Wilaya ya Mbogwe iliyopo Mkoani Geita...
0 Reactions
0 Replies
529 Views
Mzee Kikwete alitulea kwa kutudekeza sana. Tukawa na uhuru uliopitiliza na kutufanya tuseme mambo yatokanayo na "ulevi wa uhuru". Tukamwomba Mungu "atupatie dikteta mzalendo". Akatujibu kwa...
14 Reactions
38 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mtwara, Nasibu Kanduru amesema kuwa matamshi ya Tundu Lissu akiwa nje ya Nchi yanaonyesha wazi Viongozi wa CHADEMA hawajui kutofautisha kati ya Uhuru wa Mahakama...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, (I have read this publication from the Vanguard Africa Foundation website and I am eager to share with you. Thanks!) Ascending to power in the wake of the repressive and...
9 Reactions
53 Replies
7K Views
Habari za jioni wanajamvi. Nimefuatilia Watanzania walivyopokea kwa Mshtuko,hisia na masikitiko kifo cha aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Maghwira hii imenipa tafsiri nyingi sana namna...
9 Reactions
23 Replies
3K Views
Serikali awamu ya 4 ilikuwa ni moja ya Serikali Fisadi zilizopata tokea Barani Afrika. Kwa wanasiasa na watoto wao kuchuma mali kadri ilivyowezekana. Mpaka kufikia kuuza/gawa viwanja/maeneo ya...
4 Reactions
40 Replies
5K Views
Kauli ya Rais Samia kuminya uhuru wa Raia na vyama vyao vya siasa kwa kutozingatia katiba na sheria ameingia kwenye rekodi mpya kama Rais Mwanamke wa kwanza Africa kuwa Dikteta. Siku ya 101...
37 Reactions
210 Replies
21K Views
Najua kuna wanaCHADEMA kindakindaki ambao kwao mwamba ni kama masihi wao wa kisiasa hapa Bongo. Tokea anigi'nie nyavuni wamekuwa wapole sana. Maana walidhani kuwa Sabaya kwenda lupando basi furaha...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Shahidi wa sita katika kesi ya Unyang'anyi wa Kutumia Silaha na uporaji inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkaoni Kilimanjaro,Lengai Ole Sabaya(34) na wenzake wawili,Bakari Rahibu Msangi...
12 Reactions
77 Replies
8K Views
Kwa kauli hii ya Mkuu wa Jeshi la Polisi maana yake kuna waliodanganya/kupotosha jamii. Tunasubiri hatua zaidi zichukuliwe!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hizi siasa zitapita na maisha lazima yaendelee. Ninapingana na Freeman kiitikadi lakini hilo halinifanyi nimuone adui bali mshindani katika siasa za kujenga. Siyo kwamba nawalaumu Wakudadavuwa...
23 Reactions
44 Replies
3K Views
Hizi ni picha za Marais watatu wa east africa wakichoma Chanjo ya Covid 19. Huu ndo uongozi unavyopaswa kuwa. Kuongoza kwa mfano.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mzee Makamba anadai kuwa Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo. Na kwa tafsiri ya kiafrika mtu mwenye laana siku zote hufanana na mtu aliyechanganyikiwa. Ayafanyayo huwa...
13 Reactions
336 Replies
44K Views
Huyu bhana pamoja na kuzaliwa kipindi cha uhuru lakini dalili zinaonesha anaenda kukuza uhuru wa kufurahia demokrasia hapa nchini. Ninatamani sana kesi yake ingurume ili tuone matendo ya kigaidi...
3 Reactions
67 Replies
6K Views
Leo ni siku ya furaha kuwa chanjo ya Corona inazinduliwa. Hatimaye pana Nuru tena katika maisha yetu. Baada ya uzinduzi huu na kutupa maelekezo ya wapi kila yeyote alipo anaweza kwenda kuchanjwa...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Ninatarajia kugombea urais JMT,wakati ukifika. Je, ni lazima niwe nimepitia mafunzo ya JKT? Ninaomba kuwasilisha.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tumesikia au tunawasikia sana viongozi wetu wakijinasibu kwa Uafrika, aidha utawasikia wakisema sisi Waafrika, yaani wanaona shida kubwa sana kusema sisi Watanzania au kwa Utanzania wetu bora hata...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom