Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Press release za serikali ya Tanzania zimekuwa na story tu, zinakosa Jambo kuu ambalo ni msingi wa sheria pale hoja inapohusuJambo la kisheria. Rais anapofanya uteuzi Kuna sheria iliyompa hiyo...
3 Reactions
3 Replies
989 Views
Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ameendelea kusisitiza kuwa viongozi na wananchi wanaohimiza watu kuchanjwa chanjo dhidi ya Covid19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo kwa sababu ya kile...
14 Reactions
106 Replies
9K Views
Leo katika uzinduzi wa chanjo. Waziri wa Afya kaongea mambo mengi ili kuhalalisha mchakato huo. Ameenda mbali na kushawishi watu kuwa kujaza fomu ya kuridhia kuchanjwa ambayo inasema ukipata...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
LEO Julai 30, 2021 Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) inaungana na wadau wote ulimwenguni kuadhimisha Siku ya Kupinga Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu Duniani. Siku hii...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Friends and Enemies, Muda unakimbia Sana,mwaka 1992 tulipoingia kwenye vyama vingi na kuanza kwa uchaguz wa kwanza wa vyama vingi 1995,unaweza dhan kama ni majuz tuh,lakin ni miaka zaid ya ya...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan kesho atapokea ndege mpya ya ATCL. Ndege hiyo ni miongoni mwa zile 11 zilizoagizwa na serikali yy awamu ya 5 chini ya hayati Magufuli Mtanikumbuka - JPJM...
16 Reactions
102 Replies
12K Views
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mahakama kuu kanda ya Shinyanga imemuachia huru mwanachama wa Chadema Mhindu Kishabi na wenzake 4 waliofungwa jela miaka 3 kwa kosa la kuchoma moto kituo cha polisi huko Simiyu. Kishabi alikuwa...
9 Reactions
20 Replies
3K Views
Azim Dewji: Tunasema kwamba, kazi kubwa ya mkuu wa Dini ni kuongoza waumini wake sio kuwapotosha, unazungumza maneno ya kuwapotosha waumini na kuleta taharuki kwenye Jamii, hiyo haifai kabisa na...
20 Reactions
151 Replies
14K Views
Habari zenu ndugu zangu. Watanzania wenzangu ni wiki ya pili sasa toka mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwe, chama kimekuwa hakina muelekeo. Kila mmoja ndani ya chama anatafuta njia ya...
9 Reactions
33 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Kupitia BBC, haya ni maoni ya baadhi ya Watanzania kuhusu chanjo ya Corona iliyozinduliwa jana na Rais Samia. Kwenye video hii, walioipinga [waliokataa kuchanjwa] ni wengi kuliko walioikubali...
1 Reactions
61 Replies
5K Views
Ilikuwa ni kauli ya Mh Rais jana alipotoa salamu zake kanisani huku akiwahasa wananchi wake kujikinga dhidi ya ugonjwa wa korona kwa njia mbalimbali ikiwemo kutotumia barakao ambazo hamjui...
14 Reactions
88 Replies
8K Views
Niliona kundi kubwa la wansiasa waliowahi chanjo lakini nasikitika kwamba watu wawili ktk siasa za sasa hawakuonekana; Spika wa bunge letu, mzee wa presentation na mstaafu Kikwete, mzee wa...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Ratiba hiyo inajieleza ===== Mwanza. Ndege mpya aina ya Bombardier Q-400 iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania imetua uwanja wa Mwanza nchini humo na kupokelewa na wananchi na viongozi...
6 Reactions
184 Replies
20K Views
TAARIFA KWA UMMA Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Halmashauri...
4 Reactions
87 Replies
10K Views
Serikali yaamua chanjo dhidi ya Uviko 19 (Korona) itolewe nchi nzima. Utoaji wa Chanjo utaanza tarehe 03 Agosti, 2021.. Hivi hapa vituo 550 vitakavyotoa chanjo hiyo.
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Nikiacha tamko la IGP kuwa tuwapuuze wale wanaopinga kuchanjwa Covid ambao Mh. Waziri wa Afya amewaita Vibwetere, Azim Dewji akiwashambulia kuwa wanaingilia fani zao na kwenda Mbali zaidi kwa...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Ninataka kumpigia kura mheshimiwa Rias wetu. Lakini, nahitaji majibu ya kina kwa haya maswali yangu; 1. Miili ya ndugu zetu iliyokuwa ikiokotwa ufukweni mwa bahari. Ili jambo ni jipya...
1 Reactions
2 Replies
818 Views
Mgombea wetu wa Chama chetu aliwahi kusema kuwa hana Mgombea na wala hajawahi kutuma mtu agombee, video hii hapa Leo kabadilika anasema kwakuwa Mwigulu na Kitila wote ni Wadogo zake basi ameona...
22 Reactions
81 Replies
11K Views
Taarifa tulizopata punde ni kuwa Bwana. Patrick Mfugale aliyekuwa Acting Chief Executive wa TANROADS ameteuliwa kuwa Mkurugenzi mpya wa TANROADS. Habari zaidi baadae
10 Reactions
51 Replies
22K Views
Back
Top Bottom