Zanzibar: Rais Mwinyi afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu katika Taasisi mbalimbali

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Aliyekuwa Mkurungezi wa Azam tv ameteuliwa kuwa Mkurungezi wa Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar

===

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu katika taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

1627631679525.png
 
hii ndo habari ambayo nilikuwa naisubiri sana huyu jamaa nina iman ridhik yangu ipo kwake ....toka,akiwa clouds,baadae azam tv,CRDB na sasa mkurugenzi mkuu hakika mungu ni mwingi wa rehema.
Kisa umesoma nae, na wenzio wengi wana mawazo kama yako.
 
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Dkt. Fatma Mrisho kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya ya Zanzibar

Khadija Khamis Rajab ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji.

Pia Dkt. Omar Dad Shajak ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais na uteuzi wao unaanza Julai 30, 2021

IMG_20210730_110807_740.jpg
 
Mwenye picha yake tafadhali,Hilo jina nahisi Kama aliwai kuwa mwanafunzi wangu kwenye elimu tofauti
 
Back
Top Bottom