Wana bodi,
Katika kipindi hiki ambacho wana CHADEMA wanakamatwa kwasababu ya nia yao ya kutetea katiba mpya ni vyema kuji uliza kama katiba tuliyo nayo sasa hivi ina mapungufu na kama utumiaji wa...
Gwajima ameendelea kujibu mashambulizi yanayoelekezwa kwake na amesisitiza kuwa yeye si aina ya watu wanaobadilika badilika akisema hivi leo ni hivyo hivyo mpaka anakufa na amesisitiza kuwa kuna...
WAZIRI MKUU ATEMBELEA SHAMBA NA KIWANDA CHA PARACHICHI RUNGWE
Awahamasisha wananchi waongeze mashamba, parachichi zina faida kubwa.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea shamba la parachichi...
Haya Freeman yuko mahabusu kwa sasa, hakuna wa kumtetea wala kumsaidia wala wa kuwa pamoja naye.
Anapata faida gani? Kwanini basi harakati za upinzani zisiishe rasmi kwa sababu wanaowasemea...
Hana shida na Ubunge amechoka nao au haoni kama ni big deal hivyo anaongea anachokiamini bila woga/shaka.
Si mnafiki anazungumza anachokiamini. Mtu wa namna hii ni mzuri akipata wasaa wa kuamini...
Hatua za haraka zichukuliwe na viongozi na mamlaka zinazohusika na afya. Kuna idadi kubwa ya watu wenye mafua makali na vikohozi vikali. Wengine wakidai kusikia maumivu maeneo ya koo.
Hiyo hali...
Baada ya John Mnyika kuweka wazi namna Jeshi la Polisi na serikali walivyotumika kubambikia kesi Mbowe huku wakipeleka charge isiyo na sifa CCM kupitia Shaka wameparaganyika na kuanza kuitetea...
Inasikitisha kwa TV ya Taifa kutumika kusambaza uongo, kuwa vijana wa Chadema hawataki katiba mpya
Hii michezo yenu ni ya kudanganya umma, mnafanya propaganda za kitoto na mnavunja katiba ya nchi...
Hivi kwa nini hawa vijana wa CCM ni debe tupu kichwani?Hivi ni lazima ukishakuwa CCM ni lazima akili zipeperuke? Hawa vijana wa CCM juzi walijifanya kuwa ni BAVICHA wanaopinga katiba mpya huku...
The man ni Game Changer. Anajiamini sana hasa anaposimamia anachoamini.
Natamani iwe leo; natamani iwe kesho Gwajima afukuzwe CCM. Anampinga Rais ambaye kaamua kubadilisha uelekeo.
Gwajima bado...
Ni siku na wakati mwingine tena, poleni na majukumu ya kulijenga taifa hili la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waswahili walisema ni "Heri kujikwaa kidole kuliko kujikwaaa ulimi" Kuna viongozi wa...
Katiba yetu inalalamikiwa na Watanzania wote, wapinzani, wanaCCM na wazanzibar kwakuwa katiba hii pamoja na mambo mengine ina uwezo mkubwa wa kuzaa kiongozi dikteta, kiongozi mwizi wa kura...
Mbunge wa Kawe mh Askofu Josephat Gwajima amekishauri chama chake kiruhusu baadhi ya wanaccm wasichanje ili kama chanjo itakuwa na matokeo mabaya basi mwaka 2025 wawepo wanaccm wa kukitetea na...
Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya,kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa. Millya ni miongoni mwa wabunge wa Upinzani wenye ushawishi kanda ya kaskazini kutokana na uzoefu wa siasa...
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Simanjiro na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM )James Millya amewashukua wapinzani wa siasa nchini kuacha chokochoko za katiba mpya kwa sasa bali wampe Muda rais...
Hapa nazidi kuchanganyikiwa. Natizama, nasikiliza nasema hiiii. Wanatimiza matakwa ya kikatiba.
But wito wangu ni kuwa sawa ni matakwa ya kikatiba na Imani yao lakini nendeni mkachanjwe wadau...
Hapo sio zamani sana kulikuwa na jamii ya Panya iliyopenda sana kula mbengu za mpunga, hali ilikuwa mbaya sana kwa wakulima, panya wenyewe na hizo mbegu, sababu kutokana na wingi wa panya...
Habari!
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya spika Ndugai ndilo lililopitisha sheria kandamizi nyingi zaidi kuliko kipindi cha maspika wengine wote.
Serikali (Rais) kazi yake ni...
"Haiwezekani shule tangu mwaka 1976 mpaka leo ina madarasa manne tu na wanafunzi wanasomea nje wakati serikali inatoa fedha nyingi kwaajili ya ujenzi wa madarasa, nimuombe Mhe. Rais na Waziri mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.