Nionavyo Mimi Kuhusu Askofu Gwajima...

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,360
11,510
Hana shida na Ubunge amechoka nao au haoni kama ni big deal hivyo anaongea anachokiamini bila woga/shaka.

Si mnafiki anazungumza anachokiamini. Mtu wa namna hii ni mzuri akipata wasaa wa kuamini jambo lenye faida kwa Taifa. Hayumbishwi. Tunapaswa kuwa na watu wa namna hii

Huyu ni mtu wa system au ana back up kubwa sana. Alianza jiamini toka serikali ya marehemu ni yeye pekee aliyeweza pambana na makonda waziwazi kipindi makonda akiwa ni kipenzi cha marehemu.

Si mjinga anajua anachokifanya na kusema. Mpaka sasa hoja zake hazijajibiwa ameishia kutukanwa tu.

Mwisho natoa wito watu mkachanjwe chale. Corona ipo.
 
Gwajima ana haki sawa na watu wengine kutoa mtazamo wake kwa suala hili ambalo linajadilika.

Personally naungana naye kutilia mashaka chanjo ambazo zinakwenda kuchezea DNA za watu. Hakuna ajuaye huko mbeleni zitakuwa na madhara gani, ndiyo maana inabidi usainishwe mkataba wa 'yatakayokutokea huko mbele utajijua mwenyewe '!
 
Gwajima ajali,aogopi na wala hana muda,huyu waki-mswitch zaidi ataitisha maandamano kabisa ya kupinga chanjo.
Yaaani mpuuzi anaekula waumini wake alafu anajirekodi ndo aitishe maandamano watu waitikie???

Mwambieni aitishe hata saivi Kama atapata hata watu 1000
 
Hamchoki tu na huyo mpuuzi wenu?
Hivi biashara yake ya kufufua misukule imeishia wapi?
Kama vipi mpelekeni chato akamfufue muhuni mwenzake Kama mnamuamini sana
Kama humuamini Gwajima kachanjwe bro, usitukane watu. Mbona simpo.

Chanjo ya Polio, Pepopunda, Surua nk hazina kujaza form Kwa ajili ya kuingizwa kwenye data base, ila hii inayo. Mwenye akili timamu walah Kuna jambo hapa
 
Back
Top Bottom