Mbowe inabidi aache siasa rasmi sababu hapati faida yoyote

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,982
4,457
Haya Freeman yuko mahabusu kwa sasa, hakuna wa kumtetea wala kumsaidia wala wa kuwa pamoja naye.

Anapata faida gani? Kwanini basi harakati za upinzani zisiishe rasmi kwa sababu wanaowasemea hawana hata habari nao?

Inasikitisha lakini hakuna jinsi,kuwa mwanasiasa Tanzania bora uwe mtumwa Ulaya tu
 
Get rich or die trying, kosa kubwa alilolifanya ni kutofanya transformation ya uongozi , king'ang'anizi wa madaraka ya juu , nasasa inamlazimu kujitoa mhanga Kwa ajili ya chama kinachojifia , na haya tuliyasema tangia mwanzo , na hata Kwa serikali kuu ni hvyo hvyo ongoza kulingana na katiba , usivuke mipaka , utajiletea matatizo ambayo hayana maana , katiba kama unaona inakupa ugumu wa kuongoza ni bora ufanye mchakato wa kubadili lakini sio kuivunja , utakutana na magumu mbeleni out of your control mwisho utakufa helpless , hii pia ilimkuta jiwe.!! Na Kwa Hali ilivyo kuna kundi Lina hasira na mbowe zaidi ya maelezo
 
Haya Freeman yuko mahabusu kwa sasa,hakuna wa kumtetea wala kumsaidia wala wa kuwa pamoja nae.

Anapata faida gani? Kwanini basi harakati za upinzani zisiishe rasmi kwa sababu wanaowasemea hawana hata habari nao? Inasikitisha lakini hakuna jinsi,kuwa mwanasiasa Tanzania bora uwe mtumwa ulaya tu
Unatoka wapi wewe ? Chato ?
 
Haya Freeman yuko mahabusu kwa sasa, hakuna wa kumtetea wala kumsaidia wala wa kuwa pamoja naye.

Anapata faida gani? Kwanini basi harakati za upinzani zisiishe rasmi kwa sababu wanaowasemea hawana hata habari nao?

Inasikitisha lakini hakuna jinsi,kuwa mwanasiasa Tanzania bora uwe mtumwa Ulaya tu
Kwani Magufuli alipata FAIDA GANI?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Haya Freeman yuko mahabusu kwa sasa, hakuna wa kumtetea wala kumsaidia wala wa kuwa pamoja naye.

Anapata faida gani? Kwanini basi harakati za upinzani zisiishe rasmi kwa sababu wanaowasemea hawana hata habari nao?

Inasikitisha lakini hakuna jinsi,kuwa mwanasiasa Tanzania bora uwe mtumwa Ulaya tu
Ukweli ni kuwa Ccm na serikali zake (Tanganyika & Zanzibar) hawataki kuwepo na upinzani . Na wakifaulu hapa kwa Mbowe . Itaichukuwa nchi hii miaka mingi na pengine maisha kuja kuwa na upinzani halisi.

Awamu yote ya tano wametumia hongo na kuwanunua viongozi wa upinzani . Sasa wanatumia vyombo vya Dola na vya maamuzi kuhakikisha hakuna upinzani Tanzania . Wananchi nao ndiyo wameshatiwa uoga mpaka mwisho.
 
Haya Freeman yuko mahabusu kwa sasa, hakuna wa kumtetea wala kumsaidia wala wa kuwa pamoja naye.

Anapata faida gani? Kwanini basi harakati za upinzani zisiishe rasmi kwa sababu wanaowasemea hawana hata habari nao?

Inasikitisha lakini hakuna jinsi,kuwa mwanasiasa Tanzania bora uwe mtumwa Ulaya tu
Ukweli mchungu
 
Yesu Kristo alipouawa Mslabani kwa ajili ya kuwakomboa wanadamu alipata faida gani ?
 
Hiki kitu nimekifikiria pia, maana wanaowatetea ni malofa na wengine wanafurahia kabisa matendo wanayofanyiwa.
Babu wewe kama umeguswa umechukua hatua gani? Au ndo kufoka kwenye keyboard tu?
 
Back
Top Bottom