Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Chu Joe Leo nataka tuzungumze kuhusu umuhimu wa katiba mpya lakini kabla ya kuelezea kuzungumzia hilo ngoja nikueleze maana ya katiba ambayo ni mkusanyiko wa sheria mama inayoainisha misingi...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Kuna masuala ya ajabu sana huwa yanachanganya sana. Maana mwanasiasa ambaye ni katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani kulalama huku akiwa hana hoja zenye mashiko ni kukosa busara. Mnyika...
8 Reactions
75 Replies
7K Views
Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimesema Tanzania hakuna mapambano ya demokrasia kwani mageuzi na mabadiliko toka mfumo wa chama kimoja na kuingia mfumo wa vyama vingi yalifanyika kwa ridhaa na kwa...
0 Reactions
3 Replies
905 Views
"Usije kufanya siasa kwenye chanjo, uhai wako sio mali ya Kanisa lako, utakufa Kanisa lipo, uhai wako sio mali ya Serikali, utakufa Serikali ipo, uhai wako sio mali ya Msikiti, uhai wako ni mali...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Dkt. Mwamposa aliwahi kuonywa hili, tunashukuru amekuwa msikivu Ukisikiliza matangazo yake aliwakuwa anatangaza wanaingia saa sita wanatoka 6pm mwisho akanza toa watu saa 3 usiku Vibaka...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
UGAIDI: UFAFANUZI WA KISHERIA NA HATARI ILIYOPO JUU YA MASHTAKA YA UGAIDI DHIDI YA MH. FREEMAN MBOWE NA WENGINE (3). Na. Alphonce Lusako (Human Rights-Lawyer) Andiko Hili litajikita Katika Mambo...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna vipandevya video vinarushwa na TBC online hivi sasa ambavyo vimebeba ujumbe wa "Tujenge Nchi Kwanza" ikimaanisha mengine baadaye. Huu ujumbe unaunga mkono majibu ya Mh Samia kwa kundi la...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Askofu Gwajima yupo CCM lakini bado anazitumia akili zake pongezi kwake. Hivi ndivyo inavyotakiwa. Lakini ukikuta mtu anashindwa kutumia akili zake ipasavyo ni kwasababu ya njaa. Maombi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Huu ni mkusanyiko wa wananchi wa kata ya Utengule huko Mlimba wakisubiri kusajiliwa kwa njia ya kisasa ya Chadema digital. Tunawasisitiza waratibu wa mambo haya kuhakikisha tahadhari dhidi ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kesho UCSAF na TBC watakuwa Kisaki kwenye uzinduzi wa kituo cha kurushia matangazo cha TBC ambacho kimejengwa kwa ufadhili wa UCSAF
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Nikiwa katikati ya shughuli zangu nimesikia kituko toka kwa Lissu na wafuasi wa CHADEMA eti..''pamoja na maendeleo aliyoleta mjerumani alikataliwa na waafrika sababu hakutenda haki''...
16 Reactions
76 Replies
6K Views
Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika mapambano dhidi ya Rushwa duniani kwa miaka mitatu mfululizo ( tangu aingie madarakani mh Rais JPM) kwa mujibu wa ripoti ya Global Corruption...
0 Reactions
3 Replies
989 Views
Askofu Gwajima miaka kadhaa iliyopita alikuwa ni mwanachadema mzuri sana na alichangia sana harakati zao kwa fedha nyingi. Aliingia CCM kwa kuvutwa na ukabila kwa kuwa alikuwa na nia ya kuifanya...
12 Reactions
69 Replies
8K Views
Tanzania yaendelea kufanya vizuri katuka mapambano dhidi ya Rushwa Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Sio utamaduni wa chombo cha utangazaji cha Chanel Ten kutangaza habari za vyama vya upinzani nchini. Tangu wiki lililopita wamekuwa wakitangaza taarifa za Chadema wakidai wao ni wanachama wa...
6 Reactions
27 Replies
46K Views
Press ya Mnyika imesema kuwa Mtungi na CCM wana mpango wa kuifuta Chadema. Mtungi, CCM, Polisi et al, fahamu kuwa Chembehai (DNA) ya CHADEMA imeshaunganishwa (INCORPORATED) na chembehai za...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
1. Kumekuwa na Hiyari ya LAZIMA kupokea chanjo ya UVIKO 19. 2. Serikali imejitoa kudhamini raia wake katika kuwajibika endapo chanjo itamletea madhara aliyechanjwa 3. Nguvu kubwa inatumika...
0 Reactions
6 Replies
841 Views
Kwa kuangalia siku 100 za kwanza za Rais Samia Suluhu Hassan zilivyokuwa zimeleta matumaini makubwa kwa watanzania, katika kuijenga demokrasia na kuheshimu haki za binadamu, kwa namna alivyopiga U...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Wasalaam. Kama taifa tutafakari ugaidi uliotokea Tanzania ukiongozwa na mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe ambae yupo jela kwa tuhuma zinazomkabili za ugaidi. Ni vema kujua maana halisi...
2 Reactions
5 Replies
890 Views
Tanzania kama nchi tuna tatizo kubwa. Kwa vile ubabaishaji,uzembe, ufisadi na uovu mwingine kama huko umezoeleka mno,nasi akitokea kiongozi anayetekeleza majukumu kama yalivyotanabaishwa katika...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom