#COVID19 Askofu Gwajima: Wanaccm wasichanjwe wote ili likitokea la kutokea 2025 wawepo masalia wa kuitetea CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,571
Mbunge wa Kawe mh Askofu Josephat Gwajima amekishauri chama chake kiruhusu baadhi ya wanaccm wasichanje ili kama chanjo itakuwa na matokeo mabaya basi mwaka 2025 wawepo wanaccm wa kukitetea na kukiombea radhi chama kwa wananchi.

Askofu Gwajima ametoa ushauri huo kwa chama chake na wanachama wenzake akiwa katika kanisa analoliongoza la Ufufuo na Uzima ubungo mkoani Dar es salaam.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Mbunge wa Kawe mh Dr Josephat Gwajima amekishauri chama chake kiruhusu baadhi ya wanaccm wasichanje ili kama chanjo itakuwa na matokeo mabaya basi mwaka 2025 wawepo wanaccm wa kukitetea na kukiombea radhi chama kwa wananchi.

Dr Gwajima ametoa ushauri huo kwa chama chake na wanachama wenzake akiwa katika kanisa analoliongoza la Ufufuo na Uzima ubungo mkoani Dar es salaam.

Mungu ni mwema wakati wote!
Rashid anazidi kuipa wakati mgumu CCM
 
Kama ningekuwa na uwezo kumshauri Mh Rais, ningemshauri hii chanjo ingeanzia kwa viongozi wote, wa kitaifa na kichama, ikifuatiwa na wabunge wote.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom