#COVID19 Sheikh Farid Mussa aibuka na Msimamo wa Waislamu Juu ya Chanjo na Imani ya Kiislamu

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,355
11,500
Hapa nazidi kuchanganyikiwa. Natizama, nasikiliza nasema hiiii. Wanatimiza matakwa ya kikatiba.

But wito wangu ni kuwa sawa ni matakwa ya kikatiba na Imani yao lakini nendeni mkachanjwe wadau. Nendeni please. Msije mkafa mkatuacha tumebaki wachache.

Una dukuduku bado?
IMG_20210731_145831_451.jpg
 
Sheikh wangu anahitaji kuwapa waumini maarifa zaidi kuhusu ufanyaji kazi wa baadhi ya chanjo. Baadhi ya Chanjo hazibadilishi DNA Kama hii ya J&J ambayo Ni virusi mfu (vinavyofanana na vya Covid-19) vinavyoingizwa mwilini mwa binadamu na hivyo kuchochea Kinga (Alichosema DNA) kupambana navyo. Hii huifanya hiyo kinga kuwa tayari/uzoefu wa kupambana na virusi vya Covid-19 mara vitakapotokea. Ni kama mcheza mpira kufanya mazoezi kabla ya mechi.

Kwa hiyo sio zote zinazobadilisha maumbile
 
Hapa nazidi kuchanganyikiwa. Natizama, nasikiliza nasema hiiii. Wanatimiza matakwa ya kikatiba.

But wito wangu ni kuwa sawa ni matakwa ya kikatiba na Imani yao lakini nendeni mkachanjwe wadau. Nendeni please. Msije mkafa mkatuacha tumebaki wachache.

View attachment 1875425
Huyu Sheikh Farif Mussa ni Msemaji wa BAKWATA? Maana Tanzania tunaitambua BAKWATA tu kama chombo cha Waislamu!
 
Hapa nazidi kuchanganyikiwa. Natizama, nasikiliza nasema hiiii. Wanatimiza matakwa ya kikatiba.

But wito wangu ni kuwa sawa ni matakwa ya kikatiba na Imani yao lakini nendeni mkachanjwe wadau. Nendeni please. Msije mkafa mkatuacha tumebaki wachache.

View attachment 1875425
Nafikiri tunaitaji ufafanuzi wa wataalam.

Maana sehem hiyo ya aya inasema......."I will command them so they will change the creation of Allah"
Huyo ni shetani anajinasibu kuwa atawalazimisha mwanadamu wabadili uumbaji wa Mungu.

Pia wanazuoni watuambie hayo maumbile yanayobadirishwa ni kwa ajili ya kujaribu kuokoa maisha ya watu au kwa ajili ya anasa?

Tuelimishane tusigombane.
 
Umeisoma hiyo habari au umekimbilia kusoma tittle?!

Umesoma full report inayoeleza hadi kuhusu vifo before and after vaccination?

Umesoma full report kuhusu rate ya maambukizi kati ya vaccinated and unvaccinated?!

All in all, hivi ulijiuliza kwanini hiyo habari inahusu eneo moja dogo tu, mji wa wala bata (resort town) huko Massachusetts?!
 
Back
Top Bottom