Nadhani maisha yalivyo ni kwamba watoto wa viongozi wakihitimu vyuo awatafuti tena kazi wanasubiri uteuzi. Kwa ukubwa nafasi hizi zilizotoka naomba waziri atumie busara kuandaa semina elekezi la...
Hivi ikitokea (Sidhani kama itatokea) CHADEMA wakashika nchi, hivi safu ya mawaziri na viongozi itatoa wapi?
Maana kwa navyoona, asilimia 70% ya WanaChadema nao najua mimi ni wavuta bangi...
Haya yote yanaibuka kwa sababu anaeleza anachokiamini, na ambacho dunia nzima inakijua juu ya hiki mnachokiita chanjo? Hivi ni kweli ninyi mnataka kuniambia hamjasoma utata uliopo kwenye hizi...
Habari zenu ndugu zangu. Mara baada ya kusikia tangazo la kuhamasisha maandamano kutoka kwa katibu mkuu wa Chadema, nilikuwa nashauri viongozi wa CHADEMA wafanye mambo haya hapo chini ili...
Watanzania tuna utamaduni wa kujuana hivyo kama unamjua mtu ni vigumu sana kubadilisha msimamo wako
Mbowe kwa wakazi wengi wa Dar-es-Salaam wanajua na ni kati ya wale watu ambao wamejulikana...
Miezi kadhaa nyuma Mbunge Musukuma uliibua ununuzi wa gari VXR-V8 Geita, ukaibua ujenzi wa bustani (eneo la kupumzikia), ukaponda ukaongea sana, ukawachongea mkuu wa mkoa Luhumbi na mkurugenzi...
Pana tofauti za wazi baina ya wana Chadema almaarufu makamanda na wale wa ule upande mwingine wakiwamo CCM.
Habari ya mjini, masikioni mwa watanzania kwa sasa ni chanjo ya Corona. Safari...
Hata uteuzi wa leo tayari dosari zimeonekana. Tayari malalamiko kibao kuwa watu hawapo makini majina yamejirudia.
Haya uteuzi wa Mtednaji wa TANROAD tayari utaratibu umenyoshewa vidole.
Miamala...
Kuna kila dalili Chadema imepata doa ambalo haliwezi kufutika. Mbowe anatuhumiwa kwa kesi ya Ugaidi kosa ambalo ni hatari sana kwa usalama wa nchi, ni ukweli usio na shaka kuwa Japo bado ni tuhuma...
VIONGOZI WA DINI NA WASOMI
Viongozi wa dini huongozwa na dhamiri. Msingi wa dhamiri ni neno la Mungu.
Wasomi (Academicians), huongozwa na utafiti pamoja na uhuru wa taaluma na ndiyo maana katika...
Polisi Jijini Mbeya imewakamata wanachama wa CHADEMA zaidi ya 30 usiku huu.
Waliokamatwa ni Pamoja na
-Joseph Mbilinyi (Sugu)
-Emmanuel Masonga (Katibu wa Kanda ya Nyasa)
-Paschal Haonga(...
Mh Waziri wa Ardhi tupia jicho lako katika Wilaya ya Simanjiro kwani kuna dalili zote kuwa kuna siasa imeingizwa kwenye utengaji wa eneo la kilimo na ufugaji.
Suala la kutenga eneo la ufugaji na...
Kuna Taarifa Kwamba Samia Atakuwa na Safari ya Kikazi Nchini Rwanda Wiki Mbili Zijazo.
Itakumbukwa Kwamba Kagame Hakuwa na Mawasiliano Mazuri Na Rais Kikwete Wakati Wa Kipindi na Uongozi Wake...
Zilizovuja ni kuwa Meko amecopy kwa dikteka mwenzake Museveni kusogeza uchaguzi mbele.
Ila tunawakumbusha mataga,
tutadai tume huru mpaka itakapopatikana
Majira haya ya asubuhi hii Rais Samia yupo safarini kuelekea Kigali Rwanda kwa mwaliko wa siku mbili na mwenyeji wake Paul Kagame (PK), nakumbuka JPM alipoingia tu madarakani alijenga sana urafiki...
Ndugu zangu nimekuwa na nyie hapa kwa zaidi ya miaka 7 sasa.
Kulingana na mwenendo wa siasa za nchi hii naomba niachane kabisa na siasa, ni kujipa presha na usumbufu usio na faida.
Mwanzo...
samahani kama nimetumia neno baya, lakini ukweli ndio huo, nimesikiliza na kusoma basdhi ya hoja na maoni ya wapinga chanjo, nimegundua taifa hili bado linamzigo wa ujimga kwa asilimia 90...
Habari wadau!
Hali sasa imekuwa mbaya sana, wananchi wamekuwa wakitapeliwa maeneo yao kupitia hawa wawekezaji ambao kipindi cha JK walisumbua sana lakini alipoingia madarakani Magufuli...
Siku Moja kabla ya kumkamata Freeman Mbowe nilipigiwa simu na Ikulu Ila nilikuwa safarini, kesho yake Usiku ndiyo wakamkatama Mbowe
Tumefanya juhudi kubwa sana kujaribu na Mama Samia lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.