Utaratibu wa Sasa wa mabenki Ni lazima uwe na salio la kwenye line ya simu ndipo uweze kufanya miamala, Kwanza tu hii idea na mfumo wake unaonyesha Tanzania tuna wamiliki wa benk wasiotumia akili...
Hamsini kwa Hamsini mnachangia kuidhofisha kama hamuwezi hata jitokeza mkawa wakali kuhusu usukani mlionao.
Hii ni turufu yenu ambayo Mungu aliwapa tangu March 2021.Hakuwambia sasa mshindwe ninyi...
Amini nawaambieni, akina Halima Mdee (waliokuwa wanachama 19 wa CHADEMA na sasa wanatajwa kama Wabunge wa Viti Maalum) wanapata tabu na mateso makuu. Wanateswa na mioyo yao (kwamba wanaonekanaje...
Jamaa wanatushangaa sana mwaka huu kuliko mwaka jana na juzi, na wanatunza kumbukumbu sana. Wanashangaa na kujiuliza where do we stand. Inaonekana Mh. Ndalichako kwa msimamo wetu hakupaswa kuwa...
Huyu jamaa kwani aliwazaje kuongoza nchi iliyojaa ufisadi kiasi kile, lakinin ajira zilikuwepo za kutosha, mishahara ikawa inapanda kila mwaka, makodi na matozo ya kukomoana haya yalikuwa hayapo...
Nimekuwa nikikwazika sana kumsikia Mama akiongea as if hakuwa makamu wa Rais wa Dkt. Magufuli. Wakati mwingine nimekuwa naona kama anasaliti uongozi mzuri wa Hayati Magufuli.
Jana wakati akipokea...
Akizungumza na wanahabari amesema serikali imesaini na kutoa lesi mbili, moja huko Songwe na nyingine Mwanza. Hizi ni leseni za uchimbaji wa madini.
Najiuliza kwanini migodi hii miwili...
Watanzania wenzangu, ninawasalimu kwa jina la Tanzania.
Awali ya yote ninapenda kuchukua fursa hii kuwapongeza watanzania wote kwa kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani. Hongereni sana.
Dhumuni la...
Tukubali tukatae Sumu aliyoacha amepandikiza mwendazake ndiyo inayolitafuna taifa kwa Sasa kuhusiana na mtazamo hasi juu ya chanjo ya Korona. Kila mtu anakumbuka jinsi Magufuli alivyokuwaga na...
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali.
Television hiyo itakuwa tofauti...
Better were colonial days ndivyo navyoweza kusema. Wakati wa mateso ya kusulubiwa kwake Yesu Kristo alitamka maneno yenye tafakuri kubwa sana "KAMA WANAUTENDEA HIVI MTI MBICHI ITAKUWAJE KWA MTI...
Mbowe’s terrorism charges turn focus on similar neglected cases
SATURDAY JULY 31 2021
Freeman Mbowe, chairman of the main opposition party in Tanzania. PHOTO | FILE | NMG
Summary
Variably, acts...
Kama kuna taifa ambalo Mungu amelibaliki ni taifa la Tanzania. Maana udini na ukabila ni vitu ambavyo havina nafasi kabisa.
Naongea maisha ambayo ni uhalisia wa maisha yetu sisi watanzania...
Sheikh Ponda ambaye ni miongoni mwa Masheikh wanaoheshimika sana na Waislam wa Afrika kutokana na kupigania haki za Waislam bila uoga amesema Juhudi za Makanisa kuwaelekeza waumini wao njia bora...
Na Chu Joe
Leo nataka tuzungumze kuhusu umuhimu wa katiba mpya lakini kabla ya kuelezea kuzungumzia hilo ngoja nikueleze maana ya katiba ambayo ni mkusanyiko wa sheria mama inayoainisha misingi...
Itakuwa kutojitendea haki kutokutambua kuwa taifa hili linapita katika hali iliyo tete sana. Hali kadhalika itakuwa ni kukosa uzalendo kwa kiwango cha juu kuyaona haya na kuyafumbia macho.
Pamoja...
Jeshi la Polisi linamshikilia Mwenyekiti wa BAWACHA Wilaya ya Temeke, Bi. Neema Mwakipesile kwa zaidi ya siku 4 bila kumueleza kosa lake.
Taarifa ya BAWACHA inaeleza kuwa tangu kushikiliwa kwake...
Mwaka jana 2020 tuliona Corona ilivyowasumbua marais wengi duniani kisiasa. Championi wa Corona alikuwa Donald Trump's na Dr Magufuli.
Trump alipoteza Urais baada ya wapinzani kumzidi nguvu...
Katibu Mkuu wa Chama Mhe. John Mnyika atafanya mkutano na waandishi wa habari kesho jumamosi tarehe 31 Julai 2021 saa 5 kamili asubuhi, Makao Makuu ya Chama, Kinondoni.
Waandishi wote...
Chadema na CCM zimeungana katika kumkemea askofu Gwajima kuhusiana na msimamo wake hasi kuhusu chanjo ya Corona.
Katika mambo ya msingi ni jambo jema kuwaona Chadema na CCM wanakuwa Wamoja katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.