Ajabu! Mbunge ashangazwa shule kuwa na madarasa ya mwaka 1976

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
"Haiwezekani shule tangu mwaka 1976 mpaka leo ina madarasa manne tu na wanafunzi wanasomea nje wakati serikali inatoa fedha nyingi kwaajili ya ujenzi wa madarasa, nimuombe Mhe. Rais na Waziri mkuu waje kufanya ziara Sengerema" - Hamis Tabasam mbunge wa Sengerema

My take:

Huyu inaonekana hata kampeni hakufanya maana JPM aliwapitisha tu. Lazini asivyo na akili badala aongee Bungeni anataka Waziri Mkuu aende jimboni kwake akashangae hiyo miujiza aliyoiona. Insanity kwa kweli mangosha mayoo
 
Back
Top Bottom