Alichosema Anthony Diallo kinasemwa na Watanzania wengi chinichini

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,313
12,613
Katiba yetu inalalamikiwa na Watanzania wote, wapinzani, wanaCCM na wazanzibar kwakuwa katiba hii pamoja na mambo mengine ina uwezo mkubwa wa kuzaa kiongozi dikteta, kiongozi mwizi wa kura, kiongozi mdini, kiongozi mbadhilifu, kiongozi mkabila na kiongozi kichaa ambaye wananchi hawawezi kumdhibiti.

Katiba hii ni tamu sana kwa wanasiasa walioko madarakani tu basi kwakuwa inawaruhusu kuwa chochote bila bugudha.

Tulitegemea Katiba mpya iwe kipaumbele cha awamu ya sita ndani ya mwaka mmoja tu wa kuingia madarakani. Lakini ona, utamu wa katiba hii hata awamu ya sita sio kipaumbele chao kuandika katiba mpya.

Diallo ni speaker tu lakini microphone wanayo Watanzania wote na wana CCM wenyewe. Kumlaumu Diallo ni kupteza shabaha.

Ni heri kusoma alama za nyakati kuliko nyakati zisome alama zetu. Kuna siku watu watalaumiana kwa kutofanya maamuzi mapema.
 
Chadema wamekaa kando wanatafuna popcorn huku wakishushia na juice ya miwa, wana waangalia miccm inavyobomoa "Legacy" ya mwendazake
 
Kadri exposure ya watu inavyoongezeka , issue ya kuchelewesha mchakato wa katiba mpya itakuja kuleta mpasuko mkubwa Sana badae , Jambo linaloumiza ni kuwa viongozi wa CCM waliopo ni wazee na wanazid kupumzika mmoja baada ya mwingine , hao vijana wakija kuchukua hatamu bila kuwepo Kwa katiba mpya nawaambieni tutakuja kuuana sababu ya upungufu wa hekima na busara....ngoja tuone , imagine Tu Leo Mzee Kikwete apumzike , sjui kitakachotokea
 
Katiba mpya ni lazima siyo ombi
 
Hakuna ccm yeyeto atakayekupa katiba mpya.Katiba mpya ndio kaburi la ccm
 
Wenye kelele za kudai Katiba mpya, humu jukwaani, ni wale waliolishwa matango pori na Wanasiasa wenye uchu wa madaraka. Hao wanaamini Katiba mpya itakuwa na nguvu ya kubadili uamuzi wa wapiga kura. Hoja yangu hii inashabiana na maoni ya Jaji Warioba aliyoyatoa jana ITV

Jaji Warioba, kuhusu Katiba mpya, alishauri Bunge lilopo lirekebishe masuala yanayotakiwa kama yalivyopendekezwa kwenye Rasimu yake na Katiba Mpya. Hayo ni yale yanayohusu:
︎Madaraka ya Rais na Viongozi mbalimbali: Sura ya Saba; na
︎ Tume Huru ya Uchaguzi: Sura ya Kumi na Mbili, Sehemu ya Pili.

Hii ifanyike sasa wakati Serikali ikijipanga kurejea mchakato wa Katiba mpya ambayo iliyopendekezwa imepitwa na wakati kwa baadhi ya masuala.
 
Kadri exposure ya watu inavyoongezeka , issue ya kuchelewesha mchakato wa katiba mpya itakuja kuleta mpasuko mkubwa Sana badae , Jambo linaloumiza ni kuwa viongozi wa CCM waliopo ni wazee na wanazid kupumzika mmoja baada ya mwingine , hao vijana wakija kuchukua hatamu bila kuwepo Kwa katiba mpya nawaambieni tutakuja kuuana sababu ya upungufu wa hekima na busara....ngoja tuone , imagine Tu Leo Mzee Kikwete apumzike , sjui kitakachotokea

Hakuna ccm yeyeto atakayekupa katiba mpya.Katiba mpya ndio kaburi la ccm
Wakati wazee wetu akina Malecela, Butiku, Warioba, Mwinyi, Kikwete, Mongela, Anne Abdalah, Karume, Mangula, Makamba, Mtei, nk wako bado hai ni heri wawaongoze wanasiasa wachanga kwenye jambo hili. Hivi mpaka aseme nani au kutokee jambo gani ili tutunge katiba mpya inayolivusha taifa na watu wake salama?

Katiba yetu hii inategemea hekima na busara za kiongozi na wale wanaomzunguuka. Katiba hii inamuwezesha kiongozi kushinda uchaguzi wowote ule uwe uchaguzi mkuu, mdogo, referendum au hata kuibadilisha katiba hii imuezeshe kutawala milele kwa visingizio mbalimbali.
 
Katiba yetu inalalamikiwa na Watanzania wote, wapinzani, wanaCCM na wazanzibar kwakuwa katiba hii pamoja na mambo mengine ina uwezo mkubwa wa kuzaa kiongozi dikteta, kiongozi mwizi wa kura, kiongozi mdini, kiongozi mbadhilifu, kiongozi mkabila na kiongozi kichaa ambaye wananchi hawawezi kumdhibiti.

Katiba hii ni tamu sana kwa wanasiasa walioko madarakani tu basi kwakuwa inawaruhusu kuwa chochote bila bugudha.

Tulitegemea Katiba mpya iwe kipaumbele cha awamu ya sita ndani ya mwaka mmoja tu wa kuingia madarakani. Lakini ona, utamu wa katiba hii hata awamu ya sita sio kipaumbele chao kuandika katiba mpya.

Diallo ni speaker tu lakini microphone wanayo Watanzania wote na wana CCM wenyewe. Kumlaumu Diallo ni kupteza shabaha.

Ni heri kusoma alama za nyakati kuliko nyakati zisome alama zetu. Kuna siku watu watalaumiana kwa kutofanya maamuzi mapema.
Futeni Mwungano, kazi yake ni kutuletea vurugu tu, Shaka? Vipi sisi tunaruhusiwa kugombea urIs Zanzibar?
 
Kadri exposure ya watu inavyoongezeka , issue ya kuchelewesha mchakato wa katiba mpya itakuja kuleta mpasuko mkubwa Sana badae , Jambo linaloumiza ni kuwa viongozi wa CCM waliopo ni wazee na wanazid kupumzika mmoja baada ya mwingine , hao vijana wakija kuchukua hatamu bila kuwepo Kwa katiba mpya nawaambieni tutakuja kuuana sababu ya upungufu wa hekima na busara....ngoja tuone , imagine Tu Leo Mzee Kikwete apumzike , sjui kitakachotokea
Umenikumbusha kiongozi kijana anakwambia usipokubali ongezeko la tozo hamia Burundi
 
Back
Top Bottom