Mwenge wa uhuru umeingia mkoani Morogoro na kupokelewa na RC Shigella akiwa ameambatana na watendaji wa mkoa.
Mwenge utakimbizwa katika wilaya zote za Morogoro na jumla ya miradi ya maendeleo 44...
Wakati Mh Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani, alituambia imefika wakati wakujenga chama Cha siasa imara kwa matakwa ya mda tulio nao tuache kutegemema jeshi la Polisi...
Wana jamvi,
Haya tunahitaji maoni yenu jinsi ya kuweza kutoa elimu ya uzalendo kwa mafisadi na wananchi kwa ujumla
Kwanza naomba mtambue nini maana ya uzalendo:
UZALENDO ni ile hali ya mtu...
Inashangaza na kusikitisha lakini ni kweli. Serikali imekuwa ikijiita sikivu lakini nyuma ya pazia masuala mengi tu yanayohitaji public opinion kabla ya yamekuwa yakitekelezwa kienyeji.
Tozo...
Wanasema hata saa mbovu kuna muda katika siku huwa inakuwa sahihi, nadhani upinzani hasa CHADEMA wanapaswa kujifunza kwa CCM somo la kushirikiana na vyama vingine.
CCM pamoja na kushika dola...
Kuna mambo ambayo Serikali na Bunge ambavyo kwa asilimia kubwa kumejaa wanachama wa CCM, yalikosewa na sio mbaya kukubali, kuomba Radhi na kuanza upya. Mfano:
1. Kupitisha sheria ya tozo kubwa za...
Ndugu zangu Watanzania. Wakati Bwana Yesu yuko duniani aliwaeleza wafuasi wake kuwa Mafarisayo wameketi kwenye kiti cha Nabii Musa. Wasikilize maneno yao ila wasienende kwa mfano wa Matendo yao...
Taarifa kuhusu Waheshimiwa Wabunge kukatwa Kodi .
Ofisi ya Bunge la Tanzania imesema kama ilivyo kwa Watumishi wengine wa Umma pamoja na Viongozi wa Kisiasa, Wabunge wanakatwa Kodi ikiwemo ya...
Kiongozi wa Act -Wazalendo na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi ndugu Mbatia wamemtembelea Mbowe na kumtia moyo juu ya mapambano ya demokrasia. Walimtembelea katika Gereza la Ukonga na Mhe. Zitto...
Mfanyabiashara Yusuf Manji amerejea ughaibuni baada ya kukaa nchini kwa takribani mwezi mmoja huku akikumbana na misukosuko baada ya kukamatwa na kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
Kwa uwelewa wangu mdogo mara nyingi mabadiliko kwenye idara nyeti kama Tiss na idara nyingine nyeti huwa yana masilahi mapana kwa taifa kuliko hizi mambo zinaongelewa ktk magazeti ya nje...
SIo la kuchekelea NCHI kesho inaingia kwenye Standby na ukiangalia CHADEAMA tokea mwanzo magwanda yao yamekalia kijeshi, hujisemea pengine inamahusiano na Jeshi wanaitana Makamanda, kesho si...
Muasisi wa Tozo za kizalendo mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu amesema kodi hii itawagusa watanzania milioni 30 tu ambao wana uwezo na wale wanaobakia zaidi ya milioni 20 hawataguswa. Tanzania...
Tuko tunapambana kuona ni jinsi gani janga la Corona linaisha kabisa tuendelee na mambo mengine, tumechoka kuzika viongozi kila mwezi.
Haya mambi ya kubembeleza watu ambao wameshaungua akili...
Wadau nimekuwa nasikia Rais Mstaafu Mkapa ni mpatanishi huko Rwanda kati ya watawala na watawaliwa(baina ya vyama vya siasa) au Rais Mstaafu Kikwete ni mpatanishi burundi kati ya watawala na...
Wanaukumbi.
Baada ya Bawacha kufanya maandamano kwenye Ubalozi wa Marekani wakishinikiza Mbowe, aachiwe na kutuma Tamko lao Ubalozini, majibu ya Balozi wa Marekani haya hapo chini.
Kwa wale wasiyoelewa wala kuona itikadi za vyama ingetosha tu kumsikiliza mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe ili kujua CHADEMA wanapigania nini.
Ukisikia jinsi Mbowe anamponda Magufuli mtu ambaye kabla...
Salaam
Tangu Tanzania iingie kwenye mfumo wa vyama vingi upinzani ulikuwa haujapata fulsa ya kuingia madalakani kama ilivyotokea mwaka 2015..nathubutu kusema upinzani wa Tanzania ni wa kivivu...
Watu hawa jamii ya wachache wenye multiple users walioko mitandaoni ndio imekuwa sauti ya Watanzania wote, inasikitisha sana, jamii hii inatumika sivyo ndivyo ,wamejikita kama wao ndio wenye hati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.