Mbunge Zungu: Tumeanzisha kodi ya miamala ya simu kwa watu milioni 30 wenye uwezo, waliobaki zaidi ya milioni 20 hawatalipa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,903
141,850
Muasisi wa Tozo za kizalendo mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu amesema kodi hii itawagusa watanzania milioni 30 tu ambao wana uwezo na wale wanaobakia zaidi ya milioni 20 hawataguswa. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 50

Zungu amesema wazo la consolidation tax amelitoa Ujerumani ambako wenye uwezo hulipa kodi kusaidia maendeleo ya watu wa maeneo masikini.

Chanzo: Clouds tv
 
Muasisi wa Tozo za kizalendo mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu amesema kodi hii itawagusa watanzania milioni 30 tu ambao wana uwezo na wale wanaobakia zaidi ya milioni 20 hawataguswa

Tanzania ina watu zaidi ya milioni 50

Zungu amesema wazo la consolidation tax amelitoa Ujerumani ambako wenye uwezo hulipa kodi kusaidia maendeleo ya watu wa maeneo maskini.

Chanzo: Clouds tv
Kilaza huyu. Ila sio kwa kupitia tozo za simu.
 
Huyo mwandishi angemuuliza mtu mwenye uwezo ni yupi? Mwenye simu? Anayatumia fedha [kiasi chochote?], Maana hii tozo hata kama unamtumia mtu hela ya matibabu ambaye hana uwezo kiuchumi, yeye anakatwa na wewe unakatwa! CCM sijui wanatumia akili gani!
Mahojiano yameisha mkuu!
 
Tukiitwa kichwa cha mwendawazimu tunapaswa kukubali tu! Hivi hao watu milioni 20 ambao hawatalipa hizo tozo unawezaje kuwabaini na kutokuwakata hizo tozo pindi watakapokuwa wanatumia hizo huduma? Au watakuwa na orodha ya majina ya wasiostahiki kukatwa tozo??
Tanzania haiishiwi maajabu.
 
Yaan Zungu analeta wazo la developed country kwny nchi ya walalahoi hata milo mi3 ni shida,hv ana akili kweli,yaani huyu ikitokea mtu akanya katikati ya uwanja wa taifa anweza na yeye akaiga....pambaaf ujinga mtupu
 
Muasisi wa Tozo za kizalendo mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu amesema kodi hii itawagusa watanzania milioni 30 tu ambao wana uwezo na wale wanaobakia zaidi ya milioni 20 hawataguswa

Tanzania ina watu zaidi ya milioni 50

Zungu amesema wazo la consolidation tax amelitoa Ujerumani ambako wenye uwezo hulipa kodi kusaidia maendeleo ya watu wa maeneo maskini.

Chanzo: Clouds tv
Huyu Zungu ni mtu wa aina gani aisee mbona jina lake halina uhalisia na mambo anayoyafanya kwa watanzania
 
Muasisi wa Tozo za kizalendo mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu amesema kodi hii itawagusa watanzania milioni 30 tu ambao wana uwezo na wale wanaobakia zaidi ya milioni 20 hawataguswa

Tanzania ina watu zaidi ya milioni 50

Zungu amesema wazo la consolidation tax amelitoa Ujerumani ambako wenye uwezo hulipa kodi kusaidia maendeleo ya watu wa maeneo maskini.

Chanzo: Clouds tv
Kuwa na mbunge kama huyu ni hasara kwa taifa. Watu milioni 30 ndo watu wazima wote ukiondoa vikongwe, watoto na wanafunzi wanaotegemea wazazi wao. Au hata hesabu ya Sensa haitumii kama mbunge?
 
Kuwa na mbunge kama huyu ni hasara kwa taifa. Watu milioni 30 ndo watu wazima wote ukiondoa vikongwe, watoto na wanafunzi wanaotegemea wazazi wao. Au hata hesabu ya Sensa haitumii kama mbunge?
Hahahaaaa.......kwani watoto na vikongwe hawatumii simu bwashee?!
 
Back
Top Bottom