Kusema Kweli CHADEMA inatisha, nchi ipo kwenye STANDBY

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,946
3,820
SIo la kuchekelea NCHI kesho inaingia kwenye Standby na ukiangalia CHADEAMA tokea mwanzo magwanda yao yamekalia kijeshi, hujisemea pengine inamahusiano na Jeshi wanaitana Makamanda, kesho si siku ya kulala mpaka ukakoroma.

Tanzania si shwari tena.
 
SIo la kuchekelea NCHI kesho inaingia kwenye Standby na ukiangalia CHADEAMA tokea mwanzo magwanda yao yamekalia kijeshi ,hujisemea pengine inamahusiano na Jeshi wanaitana Makamanda,kesho si siku ya kulala mpaka ukakoroma.
Tanzania si shwari tena.
Si bure kichwani mwako itakuwa kuna funza! Hivi hujui kuwa Waziri wa Ulinzi amefariki? Balaghau wahed!!
 
SIo la kuchekelea NCHI kesho inaingia kwenye Standby na ukiangalia CHADEAMA tokea mwanzo magwanda yao yamekalia kijeshi ,hujisemea pengine inamahusiano na Jeshi wanaitana Makamanda,kesho si siku ya kulala mpaka ukakoroma.
Tanzania si shwari tena.
Chadema hamna uwezo wa kuisumbua nchi
Mmewadhulumu majimbo yao. Na viongozi wengine baadhi mmefika bei. Lakini bado hamridhiki ?!. Kila wakati ni kuiwaza Cdm negatively !!.

Waliodhani wataiua Cdm wametangulia kufa wao .
 
SIo la kuchekelea NCHI kesho inaingia kwenye Standby na ukiangalia CHADEAMA tokea mwanzo magwanda yao yamekalia kijeshi ,hujisemea pengine inamahusiano na Jeshi wanaitana Makamanda,kesho si siku ya kulala mpaka ukakoroma.
Tanzania si shwari tena.
Huku mtaani nobody cares

tunateseka na tozo na bei za mafuta kuliko hizi siasa za kutafuta kiki Kwa pikipiki
 
Wanaaanzia wapi? Kama hawajatangaza watapita mitaa gani basi ni wababaishaji tu.Kama wako tayari watuambie njia watazopita ili Amburance ziandaliwe kwa ajili ya casualties.
 
SIo la kuchekelea NCHI kesho inaingia kwenye Standby na ukiangalia CHADEAMA tokea mwanzo magwanda yao yamekalia kijeshi ,hujisemea pengine inamahusiano na Jeshi wanaitana Makamanda,kesho si siku ya kulala mpaka ukakoroma.
Tanzania si shwari tena.
Una uhakika au ni hallucinations
 
Mpaka sasa hakuna kiongozi hata mmoja wa chadema alietangaza kuandamana. Hii inaonesha ni jinsi gani viongozi hao wanagwaya na kuogopa dola lililo chini ya mama shupavu, raisi na amiri jeshi mkuu mh Samia Suluhu Hassani.
 
SIo la kuchekelea NCHI kesho inaingia kwenye Standby na ukiangalia CHADEAMA tokea mwanzo magwanda yao yamekalia kijeshi ,hujisemea pengine inamahusiano na Jeshi wanaitana Makamanda,kesho si siku ya kulala mpaka ukakoroma.
Tanzania si shwari tena.
Chadema haiwezi kutisha mbele ya majeshi yetu
 
SIo la kuchekelea NCHI kesho inaingia kwenye Standby na ukiangalia CHADEAMA tokea mwanzo magwanda yao yamekalia kijeshi ,hujisemea pengine inamahusiano na Jeshi wanaitana Makamanda,kesho si siku ya kulala mpaka ukakoroma.
Tanzania si shwari tena.
UVCCM wanavaa hadi buti za jeshi? inamaana ccm ni magaidi? nope
 
Tatizo Nini kwani
tatizo kubwa ni Katiba na Tume huru ya Uchaguzi ,kama unakumbuka Magufuli ndie aliewasimika hawa wabunge tulionao na mawaziri waliopo ,ndio ukaona nchi inakwenda upogo ,na haya yanayoanza ndivyo yalivyoanzia huko nchi zingine,usizani hakuna usalama wa Taifa masikini,wala polisi masikini wala majeshi masikini wala wananchi masikini siku masikini hawa wakiungana CCM walioteuliwa na magufuli watakimbia nchi.
 
SIo la kuchekelea NCHI kesho inaingia kwenye Standby na ukiangalia CHADEAMA tokea mwanzo magwanda yao yamekalia kijeshi, hujisemea pengine inamahusiano na Jeshi wanaitana Makamanda, kesho si siku ya kulala mpaka ukakoroma.

Tanzania si shwari tena.
Hapana. Ni siku ya kawaida tu. Itakuja na itapita. Makamanda wataskiliza kesi ya mwenyekiti wao kwa utulivu mkubwa. Ninaomba polisi wasifanye fujo zao kwa kisingizio chochote kile.
 
Back
Top Bottom