Mwenge wa Uhuru waingia Morogoro, miradi 44 kufunguliwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,585
142,884
Mwenge wa uhuru umeingia mkoani Morogoro na kupokelewa na RC Shigella akiwa ameambatana na watendaji wa mkoa.

Mwenge utakimbizwa katika wilaya zote za Morogoro na jumla ya miradi ya maendeleo 44 itazinduliwa.

Tahadhari zote za kupambana na Corona zinachukuliwa.

Chanzo: Channel ten!
 
CHADEMA hawawezi kushangilia kibatari cha uchawi.

CCM washirikina na wachawi wasio kifani ndio waabuduo Mwenge.

Mtaendelea kulala kwa huzuni kutokana na ibada zenu zilizoja laana
 
Mwenge wa uhuru umeingia mkoani Morogoro na kupokelewa na RC Shigella akiwa ameambatana na watendaji wa mkoa.

Mwenge utakimbizwa katika wilaya zote za Morogoro na jumla ya miradi ya maendeleo 44 itazinduliwa.

Tahadhari zote za kupambana na Corona zinachukuliwa.

Chanzo: Channel ten!

mwenge sehemu mhimu sana ktk kupumbaza akili za watu, ni moja kati ya matambiko pendwa ya ccm,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom