Nilikutana na huyu dada wa Kisukuma mwaka juzi chuo flani akimalizia shule.Sikuwa karibu naye kivile lakini nikanotisi kuwa ni muhasibu wa Halmashauri huko Tabora.Japo kiumri alikuwa ameshatoka...
Teknolojia iko mbele sana na tunaipongeza mahakama kwa kuendesha kesi kimtandao.
Kwa kuwa ugaidi ni jambo zito sana linalohatarisha usalama wa nchi, na hatuna uhakika kama magaidi wote...
UHALALI WA UTEUZI WA MAKAMU MWENYEKITI WA BODI YA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA ULIOFANYWA NA RAIS.
1. SWALI
Mwana JF anayetumia Username ya Hand Hand aliuliza swali hapa JF kuhuu uhalali wa...
What a shame? Majivuno, kuringa, kujikweza, kujiona wao ndio wao, kumbe kuna Malaika wasio na hatia wanakaa chini! Mnatoza tozo mjenge Barbara na watoto wetu wakae chini? Hivi tuna akili kweli...
Kesi ya Ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe itakuwa ni darasa zuri la Sheria kwa wanaopenda kujifunza kwa njia ya vitendo siyo nadharia.
Sisi wahenga tulijifunza mengi katika kesi...
Mnataka kutoa macho kuwa ziara ya Waziri wa masuala ya siasa wa Usa Ms Nuland kama nafasi ya kupenyeza kilio chenu cha uongo kuwa kuna ukiukwaji wa haki za kibinadamu na ugamizwaji wa haki za...
Siku zote watawala hawataki kugawana power na wengine wao wangependa kuhodhi power hiyo milele. Mungu fundi akaweka kifo na sisi wanadamu tukajiwekea katiba.
Rais aliyepita Magufuli alitufundisha...
4 August 2021
Tanzanian authorities must promptly provide evidence to substantiate charges against opposition leader Freeman Mbowe, or else release him, said Amnesty International ahead of his...
A new government levy on mobile money introduced last month in Tanzania has sparked outrage from citizens due to the significant increase in costs. With 26 million people, almost half the...
Wataalamu wa afya na watafiti wa chanjo wanasema pombe na dawa ya chanjo vyote vinakwenda kwenye ini, hivyo upo uwezekano wa ini kuongezewa mzigo na kulichosha lakini pia kilevi huingilia kazi ya...
Bado tunalia sana na weledi wa vyombo vyetu vya Dola hasa jeshi la polisi na TIS. Tunajua kua lengo kuu la kumsumbua Freeman Mbowe si kesi ya Ugaidi wala uhujumu uchumi, lengo kuu ni kuzima...
Mitaani misiba imekuwa mingi sana. Kwingine habari za mochwari kufurika zinasikika.
Maprofesa na hata vigogo ni baina ya wahanga.
Moja ya vipimo vya uhalisia wetu kuhusiana na huu ugonjwa ni...
Sio kila siku ni Jumamosi au sio kila zama zitabakia kuwa hivyo hivyo.
Awamu ya nne chini ya Jakaya Chadema walifanya siasa za harakati kiasi cha kumtisha Jakaya kuwa hawezi kutawala nchi...
Jamani mwenzenu nusuru yanipate hapa Bongo. Nilikutana na dalali aliyekuwa ananiunganishia na muuza pikipiki maeneo ya Mikocheni. Alidai kuwa pikipiki atakayoniuzia ni mpya, nzuri na haijatumika...
Habari hii inajieleza wazi:
John Mrema amethibitisha baadhi ya utambulisho watu hao.
Kwamba tumefikia huku kwenye "impersonation" si haba inaonekana ujumbe unawafikia walengwa.
Kwa vile...
CHADEMA ARUSHA YA LAZIMISHA VIJANA KUSHIRIKI MAANDAMANO, VIJANA WAGOMA WATOA MSIMAMO MKALI KUHUSU SUALA LA MBOWE
Mkoani Arusha.
Moja ya mikakati mikubwa inayoendelea kufanywa na CHADEMA nchini...
Nimesikitishwa sana na kitendo cha Naibu Waziri mmoja wa Marekani kupewa muda wa kukutana na vyama vya siasa Tanzania.
Nimejiuliza mara nyingi sana kichwani kuwa je, Katambi anaweza kwenda USA...
Hivi karibuni tumeshuhudia wimbi kubwa la vijana wa CHADEMA nchini wakitofautiana kabisa na mawazo ya mwenyekiti wao wa Taifa, hii inakuja baada ya vijana hao kuona kuna haja ya Chama hicho kuanza...
Sanasana nilimuona ni kijana atakayetokomea Ulaya kutafuta fursa kwa njia za halali na siyo kuzamia meli kwa sababu alitoka familia yenye chapaa.
Leo hii Freeman Mbowe ndio wanamwita Mwamba wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.