Zitto na Mbatia wamtembelea Mbowe katika Gereza la Ukonga

Badala ya kuendeleza harakati ya kudai katiba mpya, wanataka wa onekane eti wana huruma unafiki mtupu.

Chochote anachofanya mtu katika kumwunga mkono Mbowe au kusukuma gurudumu la katiba mpya mbele ni cha kupongezwa hata kama ni kidogo kiasi gani.

Mimi na wewe tunapaswa kufanya makubwa zaidi badala ya kumtaka au kumtegemea yeyote kufanya hivyo.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Kimtazamo wake na wewe endelea kumuona Mbowe malaika au nabii ya kuwa ipo cku atakuja kukumboa au kukupa Maisha mazur.Baruzuli mkubwa wewe

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Mbowe ni Mkombozi na nabii indirectly! Anachofanya kitakuwa na matunda kwa wakati wake, Kwa hiyo siyo lazima amkombowe jamaa kwa unavyotaka Wewe! Alafu kukumboa siyo kiswahili!
 
Back
Top Bottom