Tundu Lissu: Wanaosema nahamasisha maandamano nikiwa Ubeligji,Hivi kwani mimi napenda kuwa huku, nilifikaje huku?

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
B6A483A8-5CC9-4202-A053-DED2AA69C1E2.jpeg
 
Kama ww hautokuwepo, basi wahimize viongozi wengine wa chama na familia zao wawepo kweny maandamano ili kuongeza nguvu kwa waandamanaji. Haiwezekani mimi dudumizi niandamane nile virungu vya polisi, nivunjwe mguu, na kufunguliwa kesi afu watu kama watoto wa Mbowe, Sugu, mch Msigwa, Mnyika na familia zao wakae nyumban kwao wanatuangalia tu kwenye TV na kukimbilia kulaumu polisi kupitia twita na JF.
 
Viazi kama nyie ndiyo msingi wa ccm fvck yon

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Alikuwa na shida na serikali ya JPM, serikali ya awamu hii ana shida gani? Rudi nyumbani ujenge nchi yako. Usiibomoe ukiwa nje.
 
Jambo muhimu kabisa la kuweka kwenye akili wakati wa kujadili mambo ya Lisu tukiwa kama Watanzania huru, ndugu na wamoja kitaifa bila kujali tofauti za kitikadi, ni kwamba, hayati Rais Magufuli hakufa na watendaji wake waliokuwa wanatenda mambo kwa baraka zake.
Sasa basi, katika hali hiyo, wale waliotenda kwa kivuli cha Magufuli, wana wasiwasi mkubwa zaidi na hivyo kuongeza nguvu kujilinda.
Pamoja na mambo mengine, wapo watendaji wa serikali ambao kimsingi katiba inawakatza kujihusisha moja kwa moja na siasa (majeshi yote ikiwemo polisi, tume ya uchaguzi, mahakimu, majaji, msajili wa vyama , wakurugenzi wa wilaya n.k), hawa wote, kama wanaonekana wakifanya upendeleo kwa chama fulani kwa wazi kabisa, wanatakiwa wafukuzwe kazi, kwa sababu ni maadui wa taifa kwa mujibu wa katiba na sheria.
 
Kama ww hautokuwepo, basi wahimize viongozi wengine wa chama na familia zao wawepo kweny maandamano ili kuongeza nguvu kwa waandamanaji. Haiwezekani mimi dudumizi niandamane nile virungu vya polisi, nivunjwe mguu, na kufunguliwa kesi afu watu kama watoto wa Mbowe, Sugu, mch Msigwa, Mnyika na familia zao wakae nyumban kwao wanatuangalia tu kwenye TV na kukimbilia kulaumu polisi kupitia twita na JF.
Wewe endelea kuishi kwa matumaini ya kuteuliwa tu hizi shughuli za kiume tuachie sisi wenyewe.
 
Yeye kafanya jipya gani?
Huna lolote wewe !!. Unambeza mtu ambaye amepigania haki za wananchi masikini (wachimbaji) dhidi ya watawala mafisadi. Unambeza mtu aliyetoa michango mingi bungeni pengine kuliko mbunge yeyote !!. Unambeza mwanasheria aliyesimamia kesi nyingi kutafuta haki za watu !!.

Wewe umefanya kipi hata kidogo kutetea haki za watu dhidi ya dhulma za watawala ??!!
 
Hahaha

Kapigania haki za masikini gani we brain washed?
 
Back
Top Bottom