Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Samia anasema anajenga uchumi. Nani msimamizi wake mkuu? Majaliwa? Au Mpango? Tofauti ya awamu ya tano na sita kiuchumi ni ipi? Centralisation ni moja ya mambo yalioua uchumi why...
27 Reactions
69 Replies
5K Views
Nimefuatilia yanayoendelea katika taifa letu kwa sasa naona kila siku zanavyosonga mbele matumaini yanazidi kupotea. Kimsingi kuna ombwe la uongozi katika taifa letu kwa sasa linaloonyesha kuwa...
11 Reactions
13 Replies
3K Views
Ahaa ukistaajabu ya Waziri wa afya Dkt Gwajima anayesema Tanzania kuna Wagonjwa wachache wa korona basi utayaona ya Waziri wa Mambo ya nje akivaa barakoa mbili mbili kuogopa korona Wananchi...
1 Reactions
2 Replies
897 Views
Habari ndugu zangu. Kuna hii hospitali inayoitwa Machame hospitali, nimewahi kuwa na mgonjwa wangu pale siku chache zilizopita. Ilifikia wakati akahitajika kuongezewa damu. Tulijitokeza ndugu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Ni rahisi ngamia kupenya kwenye Tundu la Sindano kuliko Freeman Mbowe kufikishwa Kisutu leo. Chadema Wapo Viunga vya Kisutu kusubiri japo wamuone Mwenyekiti wao. Wajiandae...
8 Reactions
31 Replies
4K Views
Salamu zitakuwa zimewafikia kuwa mheshimiwa Mbowe hayuko peke yake na hatakuwa peke yake. Funzo kubwa kwa makamanda limetoka kwake wakili msomi Peter Kibatala: "Kuwe na mkakati rasmi wa...
14 Reactions
28 Replies
4K Views
Hali si shwari katika viwanja vya mahakama ya kisutu hapa getin wandamanaji wa chadema na mabango yao wamekula SMASH za kutosha ila sikuona maana ya kuwakamata kwa maana ni maandamano yasiyokuwa...
2 Reactions
105 Replies
54K Views
Tumezoea kuona watu wakitoa sifa nyingi mtu anapokufa, lakini ninaomba sifa nizitoe mtu akiwa hai. Mara nyingi nimeona wakili Kibatala akipanda mahakamani kwenye kesi za viongozi wa chadema...
51 Reactions
82 Replies
9K Views
Akizungumza na Waandishi wa Habari wa Mataifa mbalimbali , wakiwemo na waandishi wa Habari wa Tanzania Kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni , Katibu Mkuu wa...
9 Reactions
48 Replies
5K Views
Canada is closely following the case against the chairman of CHADEMA, Freeman Mbowe. A strong democracy requires: fair & transparent legal processes for all citizens; freedom of speech and...
37 Reactions
91 Replies
7K Views
Habari JF Siasa, Humu ndani kumekuwa na maoni au chapuo mbalimbali juu ya wagombea Urais Zanzibar. Kuna mmoja wetu humu jukwaani amekuwa wazi kwa kuwapa chapuo Dr Hussein Mwinyi na Prof Makame...
4 Reactions
34 Replies
6K Views
Wasalaam wana jamvi. Mimi ni mmoja wa watu ambao kusema kweli nilitamani kabisa swala la chanjo liwe kwa lazima kwa kila mtanzania na hili lilipaswa kuwekwa wazi kabisa na Mh Rais pale...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Kati ya makosa anayoshitakiwa nayo Mbowe mojawapo ni kufadhili ugaidi. Japokuwa anashitakiwa kwa makosa mengine lakini hili ndio kosa pekee linalomkabili yeye peke yake. Yale mengine ya kupanga...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna Watu wameteuliwa ila hawajui tu kuwa wapo katika 'Sacrifice List' ya 'Mama' kutokana na Rekodi zao mbovu na pia kwa Tamaa zao za Kuutaka sana Urais tena wa 2025. Hakika 'Mama' kwa Kusaidiwa...
29 Reactions
91 Replies
9K Views
UFUNGUZI WA KIKAO MAALUM CHA VIONGOZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA KWA AJILI YA KUTATHIMINI UTENDAJI KAZI WA SHIRIKA KWA MWAKA ULIOPITA 2020/2021 NA KUKUBALIANA MALENGO YA MWAKA HUU 2021/2022...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tuna miradi mikubwa ya kitaifa. Hii ikikamilika itasaidia wananchi wote kijamaa. Miradi kama SGR, bwawa la umeme, kiwanda cha dawa ni miradi ya kimkakati zaidi kuliko kujenga mashule vijijini. Hao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bi Queen M. Mlozi aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania ( UWT) amekabidhi rasmi Ofisi kwa Katibu Mkuu Mpya Wa Umoja huo Bi Philis M. Nyimbi Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Moja ya matumizi makubwa ya serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania ni kuliendesha Bunge. Suna uhakika mpaka sasa Bunge letu lina wabunge wangapi lakini hawapungui 370. Ni miongoni mwa wabunge...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
TEMEKE KUWA NA MAHAKAMA YA MFANO NCHINI. Katika kuhakikisha kunakuwa na uharakishwaji wa uendeshwaji wa kesi zinazohusu mirathi, talaka na zile zinazohusu watoto. Serikali inakamilisha ujenzi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom