kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,425
- 7,211
Kwa wale wasiyoelewa wala kuona itikadi za vyama ingetosha tu kumsikiliza mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe ili kujua CHADEMA wanapigania nini.
Ukisikia jinsi Mbowe anamponda Magufuli mtu ambaye kabla ya kuwa Rais wa JMT kwa miaka 20 amekuwa anasimamia ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini kwa uadilifu na mafanikio makubwa utashangaa.
Analoona yeye ni kukwamishwa miradi yake binafsi ikiwa ni pamoja na mradi wa kulima maua kwenye chanzo cha mto huko kwao Hai.
Anajidai eti kwa kukwamishwa uwekezaji wake atahamisha vitega uchumi vyake nchi zingine. Kwanza vitega uchumi kiasi gani amewekeza wakati wawekezaji toka nje wanakuja kuwekeza mabilioni kwenye madini na sekta chungu mzima.
Mtu anataka kutumia nafasi kama kiongozi wa chama cha siasa kukwepa kodi na kukwepa sheria na taratibu za uwekezaji kwa faida binafsi.
Utasikia baadhi ya wafuasi wake wakisema eti wanamuandama biashara zake ooh hoteli yake etc etc wakati kuna wawekezaji wakubwa kwenye mahoteli wanajua kuna sheria hivyo wametulia wanafanya kazi zao kwa ufanisi.
Mbowe na wasaidizi wake wametengeneza clips za propaganda ya uongo mkubwa dhidi ya Magufuli baada ya yeye kufa.
Wanamwita muuaji na dikteta kwa kukwamisha biashara zake bila kuheshimu hisia za mamilioni ya watanzania waliyofaidika kwa uongozi wa Magufuli.
Kuna kilometa maelfu ya barabara kuna kupatikana maji toka vyanzo hadi vya ziwa Victoria sehemu kubwa nchini. Kuna usambazaji wa umeme vijiji karibu vyote nchini. Kuna maendeleo makubwa kwenye elimu.
Kuna maendeleo makubwa kwenye afya na ujenzi wa hospitali kubwa vituo vya afya na hospitali za wilaya.
Kuna ongezeko kubwa la nidhamu na upunguaji wa rushwa serikalini kwa kiasi kikubwa.
Hakika mbowe kwa kumkejeli na kumtusi magufuli kwa kiwango kikubwa kiasi alichofanya ili kuwafurahisha maliberali wa ulaya hastahili huruma kwa watanzania.
Anachojali yeye ni kufanya kazi kwa niaba ya adui wa maendeleo ya Watanzania kwa kupewa ujira kwa kisingizio ni msaada wa chama chake.