• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Mabadiliko kwenye idara nyeti kama Tiss mara nyingi ni top secret

T

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Messages
3,870
Points
2,000
T

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2010
3,870 2,000
Kwa uwelewa wangu mdogo mara nyingi mabadiliko kwenye idara nyeti kama Tiss na idara nyingine nyeti huwa yana masilahi mapana kwa taifa kuliko hizi mambo zinaongelewa ktk magazeti ya nje wakisaidiwa manyambiz wa siasa zetu.

Kama taifa ni vigumu kujuwa nyuma ya mabadiliko haya labda tu mniambie tetesi ambazo wengi tulio na macho ya mbali tunaziona hazina ukweli.

Mtu anavyo simama nakusema uchaguz ujao 2020 na serikal za mitaa ndio yamemuondoa Kipilimba mimi nawaita niwajinga na wanatupotosha sana.

Idara hii ya Tiss nimoja ya idara nyeti ktk taifa kiasi hata ukisoma baruwa ya ikulu hailelezei kutumbuliwa au kutenguliwa ila kuonyesha mabadiliko yasio na maelezo mengi.

Mtu kuja hapa jamii forum nakusema hiki aukile ndio kimemuondoa huyu mkuu pia nasema hatokuwa sawa why hii ni siri na ukienda ndani kwa jinsi mabadiliko yamefanyika nyuma yake kuna masilahi mazito ya taifa wala sio kama eti nikwa sababu za mambo ya uchaguz.

Yapo mambo mawili tu kunakazi ameshindwa kukamilisha at very high national securty au kuna kazi ipo mbele yake na kwa masilahi mapana ya taifa hawez itekeleza na yeye anajuwa na ndio maana mabadiliko yamekuwa ya ghafla na haraka sana.
Mungu ibariki Tanzania na Rais wake na Watanzania. Amen
 
okiwira

okiwira

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Messages
1,181
Points
2,000
okiwira

okiwira

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2018
1,181 2,000
Kuna watu ni wazuri kwa utunzi wanamzidi hata Yericko.

Alafu wanajifanya wako ndani ya kitengo.

Wameumbwa hivyo yaani wana mioyo ya TUKOSE WOTE.

TANZANIA SIMAMA IMARA.

WATANZANIA TUSIMAME IMARA.
 
The Monk

The Monk

Platinum Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
14,183
Points
2,000
The Monk

The Monk

Platinum Member
Joined Oct 12, 2012
14,183 2,000
Hivi unawajua watu wote hapa JF?
Hiyo top secret sijui nyeti sana si inahusisha watu? Na hao watu si wengine tunao hapa jamvini? Wewe ni nani hata upinge wanachokisema wenzako?

Nakubali kwamba sio kila kisemwacho na yeyote kina mantiki lakini kuna watu watasema mambo yenye tija.
 
technically

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
8,867
Points
2,000
technically

technically

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
8,867 2,000
Hii Idara Itasimama Vizuri Siku Ikiacha Kutumiwa Na Ccm Kama Toilet Paper

Lasivyo Watapanga Pangua Miaka Nenda Miaka Rudi
 
jipu

jipu

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2015
Messages
1,892
Points
2,000
jipu

jipu

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2015
1,892 2,000
Yapo mambo mawili tu kunakazi ameshindwa kukamilisha at very high national securty au kuna kazi ipo mbele yake na kwa masilahi mapana ya taifa hawez itekeleza na yeye anajuwa na ndio maana mabadiliko yamekuwa ya ghafla na haraka sana.
hoja yako inajichanganya sana, mwanzoni umesema idara ni nyeti na sababu za kutenguliwa hazijawekwa wazi ukarejea barua ya ikulu. Ukimaanisha hakuna anayejua sababu ya mabadiliko zaidi ya walio kwenye mamlaka.
Ukuishia hapo ukaenda mbali zaidi na kuwashangaa wanaosema sababu ni uchaguzi wa mwaka huu na ujao.
Paragraph ya mwisho unakuja na kutoa sababu mbili za kwako binafsi hambazo tukirejea kwenye barua ya ikulu uliyoitumia kujengea hoja hizo sababu mbili hazijatajwa.
Kwa iyo kama unapuuza wanaosema sababu ya mabadiliko ni uchaguzi ujao ukitumia rejea ya barua ya ikulu, ni kwa nini na sisi tusikupuuze kwa hizo sababu zako mbili ulizozitaja tukitumia rejea ya barua ya ikulu?
 
Amigos J

Amigos J

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2018
Messages
236
Points
250
Amigos J

Amigos J

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2018
236 250
Ndio nin umeandika hapa? Siku hizi kila mtu anawezaweka uzi hapa?? Haya ni maajabu kabsa kabsa!!
 
Amigos J

Amigos J

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2018
Messages
236
Points
250
Amigos J

Amigos J

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2018
236 250
TISS, imepoteza dira na uelekeo Kwasababu imekosa taasisi watu. Watanzania wa Leo sio wazalendo, tatizo hili liko kila sehemu. Kila MTU aanaangalia maslahi yake kwanza
Ulaji ulaji....tunahtaji kunyongana!! Watu wanajenga majumba makubwa n.k...
 
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
21,906
Points
2,000
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
21,906 2,000
Hata wewe tunakuita mjinga tu kwani unachojua ni kuua tu si zaidi ya hapo. Damu ya Saanane itakutesa mpaka unaingia kaburini
 
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2008
Messages
16,391
Points
2,000
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2008
16,391 2,000
Kwa uwelewa wangu mdogo mara nyingi mabadiliko kwenye idara nyeti kama Tiss na idara nyingine nyeti huwa yana masilahi mapana kwa taifa kuliko hizi mambo zinaongelewa ktk magazeti ya nje wakisaidiwa manyambiz wa siasa zetu.

Kama taifa ni vigumu kujuwa nyuma ya mabadiliko haya labda tu mniambie tetesi ambazo wengi tulio na macho ya mbali tunaziona hazina ukweli.

Mtu anavyo simama nakusema uchaguz ujao 2020 na serikal za mitaa ndio yamemuondoa Kipilimba mimi nawaita niwajinga na wanatupotosha sana.

Idara hii ya Tiss nimoja ya idara nyeti ktk taifa kiasi hata ukisoma baruwa ya ikulu hailelezei kutumbuliwa au kutenguliwa ila kuonyesha mabadiliko yasio na maelezo mengi.

Mtu kuja hapa jamii forum nakusema hiki aukile ndio kimemuondoa huyu mkuu pia nasema hatokuwa sawa why hii ni siri na ukienda ndani kwa jinsi mabadiliko yamefanyika nyuma yake kuna masilahi mazito ya taifa wala sio kama eti nikwa sababu za mambo ya uchaguz.

Yapo mambo mawili tu kunakazi ameshindwa kukamilisha at very high national securty au kuna kazi ipo mbele yake na kwa masilahi mapana ya taifa hawez itekeleza na yeye anajuwa na ndio maana mabadiliko yamekuwa ya ghafla na haraka sana.
Mungu ibariki Tanzania na Rais wake na Watanzania. Amen
I agree with this view. Kazi ndio inampa mtu kwenda juu au kuporomoka
 
Forum statistics

Threads 1,405,586
Members 532,049
Posts 34,489,932
Top