omtiti
JF-Expert Member
- Jun 19, 2019
- 1,022
- 1,590
Watu hawa jamii ya wachache wenye multiple users walioko mitandaoni ndio imekuwa sauti ya Watanzania wote, inasikitisha sana, jamii hii inatumika sivyo ndivyo ,wamejikita kama wao ndio wenye hati miliki ya hii nchi ,imefikia mpaka kiongozi mkuu wa nchi pamoja na kuwa na vyanzo vyote vya taarifa lakini kakundi haka kanamchezesha katakavyo.
Nakumbuka uteuzi wa Biswalo kundi hili lilimshambulia sana kiongozi mkuu wa nchi kwa matusi ya kila aina , katika matusi hayo mengine ni ya aibu kabisa kwa jamii yoyote iliostarabika
Leo kafanya kama wanavyotaka amepewa sifa lukuki.
Ni kwakua tu bwana yule kapoteza ubunge,yetu macho tuendelee kutafuta kusemwa vizuri mitandaoni na genge hili vigeugeu