Mwanzoni mwa mwaka huu tumeshuhudia ugeni mkubwa ukimilinika kuelekea Chato huku tukiona hakuna tahadhali juu ya ugonjwa wa Covid 19 ikichukuliwa. Tulishudia waziri wa mambo ya nje wa China, rais...
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mh Anna Mghwira amesema kifo cha bwana Arthur Shoo aliyekuwa Katibu mkuu wa KKKT dayosisi ya kaskazini ni ushahidi kuwa Corona imerudi tena.
RC Mghwira ambaye...
Natoa rai kwa serikali ilifanyie kazi hili suala, sheria ya vyama siasa ibadilishwe. Kila kiongozi wa ngazi ya unyekiti na ukatibu mkuu asiongoze zaidi ya miaka kumi. Hii ni kuondoa ukiritimba wa...
MTATIRO ACHANJWA
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro amechanjwa chanjo ya korona.
Mtatiro ametekeleza wajibu huo binafsi katika hafla ya uzinduzi wa chanjo wilayani Tunduru huku akifuatiwa...
Nawashauri mapema kabisa muanze zoezi la kufuatilia kujua picha na majina ya wagombea na vyama vyao katika karatasi za kupigia kura.
Nasema hivi kwasababu mnaweza kukuta kuna wagombea...
Askofu Gwajima amesema alipojenga ofisi ya CCM kata ya Mbweni ambayo kimsingi ni jengo kubwa kuliko lile la CCM wilaya ya Kinondoni, mama Samia akiwa makamu wa Rais ndiye alikuja kumfungulia rasmi...
ASHA Rose Migiro, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), muda wowote kuanzia sasa, atatangazwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza.
Taarifa za ndani kutoka katika Wizara ya...
Leo Ewura, pamoja na mambo mengine wamezungumzia kupanda kwa bei za gesi ya kwenye mitungi zinazotumika zaidi majumbani pia wamezungumzia mradi wao wa gesi asilia zinazosambazwa majumbani(CNG)...
DAR ES SALAAM (Reuters) - A senior U.S. government official expressed concern on Wednesday over the arrest and imprisonment of Tanzania’s opposition leader Freeman Mbowe who was charged with...
KUTOKA KIJIWE CHA POLISI WASTAAFU..
Siyo kila nikisikiacho huwa nakiweka katika ukurasa wangu. Leo nilitembelewa na Polisi wastaafu. Wamesafiri kuja kunipa pole. Walipobisha hodi nikaweka mikono...
Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa na mwenyeji wake Rais wa Rwanda Paul Kagame, baada ya kumaliza ziara ya kutembelea kiwanda cha kisasa cha magari ya Volkswagen kilichopo Kigali Special Economic...
Rais Joe Biden wa Marekani amemtuma “Naibu Waziri” (Under secretary) anayeshughulikia masuala ya siasa, Victoria Nuland, kwenda nchi kadhaa za Afrika ikiwa ni pamoja na Tanzania, ambako atakutana...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (MNEC) na Mbunge wa Mvumi mkoani Dodoma, Livingstone Lusinde amefunguka kuhusu makato ya miamala katika simu za mikononi ambapo amedai Bunge wao...
Wasaalam ndugu wana jamvi!!
Nimefikiri kwa marefu na mapana bila kupata majibu ya baadhi ya maswali yahusuyo utawala wa Dr Jakaya Kikwete enzi za utawala wake. Ni miaka kadhaa imepita sasa toka...
Watu wawili ambao wanaogopwa sana ni Lissu na Lema na siyo Mbowe.
Umri na uwezo wao wa kimtandao unaleta wasiwasi kwa wanasiasa wa CCM kiasi kwamba hawataki warudi. Kumfunga Mbowe ni njia ya...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ametoa siku kumi na tano kwa Wizara ya madini kupitia na kufanya marekebisho ya kanuni za uuzaji na uchakataji wa madini ya Tanzanite.
Ametoa agizo hilo wakati wa...
Awali ilianza kama tetesi hapa JF, soma Rais Samia kufanya safari nchini Rwanda mapema Agosti
UPDATE: July 31, 2021
Tanzanian President Samia Suhulu will on Monday arrive in Kigali for her first...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.