Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi kuna vitu ni luxiory na vingine Necessity. Luxiory kwako yaweza kikawa necessity kwa mtu mwingine na hivyo hivyo necessity kwako yaweza ikawa luxiory kwa mtu mwingine. Kitu au mahitaji...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
[emoji117]Ila kuhusu kodi ya majengo kuna watu wanalalamika bure tu, Kodi hii ipo kwa muda mrefu na tumekuwa tukilipa kila mwaka kilicho fanyika ni serikali kuongeza wigo wa kuipata hiyo pesa...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mwenendo wa siasa nchini Tanzania umehamia mitandaoni hasa Twitter na Club House ambako kampeni na mijadala mbalimbali inafanyika ikiwakutanisha makundi ya watu tofauti wakiwemo viongozi wa...
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Kuna watu wako nyuma ya Mama kazi yao ni kumdanganya tu. Kwa bahati mbaya inaonekana Mama anadeal na anachokiona sio 2025. Watu hao wamemshauri amepandisha makodi kwenye kila kitu kinachomgusa...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
Shule ya msingi Mlowa iliyopo Itigii wilayani Manyoni mkoani Singida kuna upungufu wa madarasa ambapo wanafunzi 125 wanakaa katika darasa moja Shule hiyo ina jumla ya wanafunzi 2200). Source...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Halimashauri hazitoi lesseni kwa wakati hivyo wanalaza mitaji kwa muda mrefu hadi miezi mitatu TRA wanafanya ukadiriaji kwa kukomoa Makato ya kutuma na kupokea hela yameongezeka hivyo kuchangia...
1 Reactions
2 Replies
776 Views
KODI YA MAJENGO: BUNGE LIMEWASALITI WANANCHI. UTANGULIZI. Chama cha ACT Wazalendo kilitoa msimamo wa kupingana na hatua ya Serikali, kupitia Bajeti ya Mwaka 2021/2022 kukusanya kodi ya majengo...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Ujumbe huu mzito ameutoa leo alipokuwa akipokea Taarifa ya Uchaguzi mkuu wa 2020 iliyoandaliwa na NEC kwenye viwanja vya Ikulu ===== Rais Samia amewapongeza Watanzania kwa kushiriki kikamilifu...
5 Reactions
93 Replies
7K Views
Hapo ni sawa na kusema unachakua hela mfuko wa kushoto wa suruali na kuzihamishia mfuko wa kulia. Ni mzungoko wa namna hiyo, we are distributing povert to our government.
4 Reactions
2 Replies
574 Views
Leo nimemskiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na amesisitiza Ujenzi wa Vituo vya Afya katika Tarafa 207 utatumia utaratibu wa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Hili ni jambo dogo lakini linanihangaisha sana ninapolifikiria. Askofu Gwajima anahatarisha afya ya Watanzania kwa kukataa chanjo na kuwashajiisha watu wasichanje. Lakini jambo gani litatokea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Alichosema hayati JPM sasa kimeenda kutimia maana sasa UVIKO-19 unakuwa ugonjwa tutaoishi nao katika jamii. Hayati alisema mapema kama jamii tujiandae kuishi na hili gonjwa. Tujiandae Sasa...
21 Reactions
130 Replies
9K Views
Ni vema mkatoa tamko ambalo liko backed na Sheria zetu kuwa waje Tena kwa wingi mahakamani. Kesi hii Ni ya wazi na Sheria inaruhusu wasikilizaji. Wanaweza wakatishwa na kutishika. Wahimize waje...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Awamu ya nne pamoja na kupambana na rushwa iliweza kuachia Uhuru wa watu kukemea maovu.mtakumbuka kipindi kile masanja akavuma na msemo wake wa "wizi mtupu".Serikali ilimwacha Kama msanii afanye...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nawashangaa Watanzania kulalamikia tozo wakati wanajisahau kuwa upo mwarobaini ambayo ni katiba pendekezwa ya Jaji Warioba. Wengi wa upande ule wa CCM wanadhani katiba mpya itaipa upinzani nafasi...
0 Reactions
1 Replies
633 Views
Tuna muda mfupi sana tangu "tozo" ianze kukusanywa, napenda kufahamu ni wilaya zipi zimepokea hio pesa ya Ujenzi wa vituo vya Afya? Tuanziee hapa
6 Reactions
22 Replies
44K Views
Tanzania nchi yenye kila aina ya raslimali nchi yenye nguvu kazi ya kutosha watu mil.60 Nchi yenye ardhi nzuri kwa kilimo na makazi lakini wananchi wake ni masikini wa kutupwa wamerundikiwa...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Siku ya jana nimemsikia Balozi Mulamula akitoa onyo na vitisho dhidi ya mabalozi, maafisa wa kidiplomasia wanaoziwakilisha nchi zao na taasisi za kimataifa hapa Tanzania kuhusu hatua yao...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Wenye maono ya uhakika walisema hivi:
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Wanakukwaa, hivi kulikuwa na umuhimu gani kwa serikali kununua midege zaidi ya kumi ilihali inajua haina shule, hospitali, barabara na madawa mahospitalini? Then leo inaanza kutuumiza wananchi na...
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Back
Top Bottom