Kuna umuhimu gani?

Mathias_95

Member
Apr 17, 2021
26
80
Wanakukwaa, hivi kulikuwa na umuhimu gani kwa serikali kununua midege zaidi ya kumi ilihali inajua haina shule, hospitali, barabara na madawa mahospitalini?

Then leo inaanza kutuumiza wananchi na mitozo isiyokuwa na kichwa wala miguu?

Samahani kidogo naomba kusema hivi;

KUNA UTAHILA WA KIWANGO CHA LAMI KWENYE SERIKALI YETU.

Hivi, leo wanatunyonga ili wajenge madarasa, hospitals na barabara swali ni je, wameshamaliza kujenga viwanda?

Vile viwanda 8,000 viko wapi?
 
Back
Top Bottom