Sijajua Waziri Jaffo alikuwa anafeli wapi maana shule ya msingi Mlowa mkoani Singida wanafunzi 125 wanakaa darasa moja!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,873
Shule ya msingi Mlowa iliyopo Itigii wilayani Manyoni mkoani Singida kuna upungufu wa madarasa ambapo wanafunzi 125 wanakaa katika darasa moja

Shule hiyo ina jumla ya wanafunzi 2200).

Source: ITV habari

My take; tsh 48 bilioni za Tozo zisiwasahau wanafunzi hawa
 
Kwenye elimu hususani madarasa na madawati wakulaumiwa ni wazazi.
Wao wanajisikiaje watoto wao kukaa chini?


Kwa vipi?

Kwa hiyo kodi na fedha zitokanazo na rasilimali tulizopewa bure na Mungu zifanyekazi gani?

Nyie maofisini kupeana posho kama zote mara Safari mara za vikao lakini swala la madawati waachiwe wazazi ! Kweli?

Mbona mnakufuru na kujisahau mloshiba?!
 
Kipindi cha jafo ndo kipindi madawati angalau yaliongezeka mashuleni
 
Hahaaa, kwa hiyo mapungufu yote kwenye mashule anabebeshwa Jaffo? Angekuwa mnyamwezi labda angeweza kuyabeba!
 
Back
Top Bottom