Ni vema mkatoa tamko ambalo liko backed na Sheria zetu kuwa waje Tena kwa wingi mahakamani. Kesi hii Ni ya wazi na Sheria inaruhusu wasikilizaji. Wanaweza wakatishwa na kutishika. Wahimize waje wasikie ukweli wenyewe na siyo kuambiwa. Wataandika first hand information kuwa feed wananchi wao kinachoendelea na integrity ya mahakama zetu.