Mhe. Gwajima anatumia nyumba ya ibada na amekuwa akitumia nyumba ya ibada kutekeleza mahitaji yake ya kisiasa ikiwemo kudhalilisha watu. Lakini pia mara zote amekuwa akienda mbali zaidi na...
Rais Samia amesema wazo la kuweka wasimamizi wa uchaguzi wa kudumu katika kata na wilaya zote lina changamoto zake.
Rais Samia amesema ni gharama kubwa kuweka wasimamizi wa uchaguzi wa kuajiriwa...
Pamoja na yote yanayotokea kwa mwenyekiti na chama kwa ujumla, lakini maisha mtaani yanaendelea kama kawa hakuna dalili ya kuyumbishwa.
Nguvu ya umma yuko nayo Zuma tu peke yake.
Dah! Nimelikumbuka Fagio la chuma, ambalo lilikuwa linafagia kila uozo serikalini yaani adabu na heshima ilikuwepo likipita. lilikuwa linawafagia hadi mabwana afya waliozembea na kuanza kupotea...
Wakuu najua uzima upo wa kutosha sema mtakuwa na stress za Tozo tu nyie. Baada ya kuwasalimu ngoja kidogo na mimi nitie neno.
Binafsi mimi si Mwanasiasa wala sijawahi kushabikia chama ila kwenye...
Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW
Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh...
Kuna fikra miongoni mwa wananchi kuwa siku 100 za mwanzo za utawala rais Samia alikuwa akisikiliza ushauri wa wazee hasa raisi Kikwete ndiyo maana kulikuwa na uvumilivu wa kisiasa ndani ya kipindi...
Mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe amefiwa na mama wa mke wake ambaye ni mke wa mzee Edwin Mtei.
Poleni sana familia ya Mbowe na Mtei.
RIP mama Mtei
Hawa watu wanajua uchaguzi bado uko mbali na ndio maana wanafanya yote haya licha ya kelele zote zinazopigwa na msitarajie watabadili chochote katika kipindi hiki(wakibadili, basi ni kidogo sana)...
Moja ya vitu vinavyo wapa Watawala nguvu ni kuona utani wa wabongo, Mambo serious tuna weka utani sana mbele.
Ilitangulizwa makato ya kupokea na kutoa pesa, Utani ukawa mwingi sana Mtaani kama...
Benki ya Dunia imeikopesha Tanzania jumla ya tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya sekta za Elimu, Barabara Mawasiliano na uchumi jumuishi.
----
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea mkopo wa...
Wananchi wa kawaida/maskini ni walipa kodi wazuri, kupitia huduma/manunuzi ya bidhaa wanayofanya direct wanakua wamelipa kodi ila tatizo lipo kwa serikali ktk kuhakikisha kodi hizo zinaingia...
Spika wa Bunge amewaita Mbunge Josephat Gwajima na Jerry Slaa mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya bunge
Wanatakiwa kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na...
Serikali imekusanya tozo ikatuambia kiasi kimefikia bilioni 48. Ni mwanzo mzuri. Lakini kilichonishtua ni namna zinavyokwenda kutumika; inauma Sana.
Matumizi yake katika ujenzi wa shule na...
KABLA YA KATIBA MPYA...
1. Kabla ya Katiba Mpya ya Afrika ya Kusini, Nelson Mandela aliitwa gaidi.
2. Kabla ya "Katiba Mpya" iliyoandikiwa Lancaster, Julius Nyerere alikuwa ni Mchochezi...
Msajiri wa vyama alivitaka vyama vya siasa vihamishie ofisi kuu zao za chama Dodoma nashangaa CHADEMA wamepinga na kusema ni garama kubwa lakini mimi najiuliza CHADEMA ofisi ya makao makuu yao...
Tafsiri isiyo rasmi Kwa kiswahili anasema, "Nchi inayojaribu kuendelea kwa kutoza watu wake kodi ni sawa na mtu aliye ndani ya ndoo kisha akajaribu kujinyanyua."
Yana ukweli wowote haya maneno...
Kuna jambo linaendelea nchini ambalo nafikiri wengi wetu hatufahamu lakini ukitazama kwa jicho la tatu la kisiasa utakubaliana na mimi kwamba pengine ni hujuma dhidi ya Rais Samia kwa sababu ili...
Katiba haiwezi kuwa juu ya Mwenyezi Mungu....."
"Watanzania hawakutaka mfumo wa vyama vingi,Nyerere ndio alitaka"-Jaji Mstaafu,Robert Makalamba katika semina ya mawakili wanaotetea Haki za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.