Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Video imebeba ujumbe wote. Hapa chini akimjibu Spika na barua yake ya wito kumtaka atokee mbele ya kamati ya maadili, kinga na haki ya Bunge la JMT... Amesema, atakwenda Dodoma kesho J'3...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Akihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo...
54 Reactions
204 Replies
17K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makala umetoa matamko sana tangia ule kiapo cha kuwa Mkuu wa Mkoa, cha ajabu hakuna linalotekelezwa hata moja 1) Ulianza na machinga ukachimba biti weeeh mwisho siku...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Hivi ndivyo mgogoro na malumbano juu ya chanjo ya Corona kati Gwajima wawili unaweza kumalizwa bila yoyote kupata ushindi; Waziri na naibu waziri wake watatenguliwa uwaziri na kubaki wabunge wa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakati Rais John Magufuli alipomteua Dr. Dorothy Gwajima kuwa Waziri wa Afya, wengi wetu tulifurahi kwa sababu tunautambua uwezo wake na umahiri wake kazini. Ni mtu mcheshi, mchapakazi na...
12 Reactions
58 Replies
7K Views
List ya Kodi anazolipa raia Mnyonge:- Pay as you earn Vat 18% kwa kila bidhaa 4% Tax on services - Ufundi n.k Ewura kwenye manunuzi ya umeme na Mafuta Tanroad kwenye Mafuta wanachukulia humo humo...
2 Reactions
6 Replies
802 Views
Suala la tozo CHADEMA kimya ACT Wazalendo kimya nguvu ya kudai katiba itumike kupinga tozo Suala la makato na tozo CHADEMA na ACT Wazalendo mmeuchuna tu nguvu inayotumika kudai katiba itumike...
0 Reactions
47 Replies
2K Views
Askofu Gwajima should not be arrested and here is why: His anti- COVID-19 vaccine stance is stupid. Stupid people are entitled to their stupid ideas and opinions. They have the right to be...
36 Reactions
162 Replies
13K Views
Somo #1 lilikuwa kwenye kuutambua uwanja. Kutambua uwepo wa washirika, wadaiwa, maadui na wasiohusika kwa kujua au kutokujua kwao. CHADEMA na Makamanda tujifunze Mbinu za Medani #1 Somo #2...
2 Reactions
2 Replies
782 Views
[emoji117] Huenda kinacho endelea kati ya mbunge josephat gwajima na waziri wa afya doroth gwajima kiko planned ili kuzima mijadala ya kuhusu tozo ambazo zinaonekana kuwaumiza wananchi..maana kama...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nikiwa napitia mada mbali mbali hapa JF, kuhusu chanjo ya covid, nimekuwa nikisoma comments mbalimbali za wadau, juu ya hii chanjo ya covid19. Wapo wanaopinga chanjo na wapo wanaotaka chanjo na...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Habari za Muda huu wana Jfs. Ni muda sasa wa takribani mwezi kumekuwa na introduction ya kile kinachoitwa tozo ambapo kwa mujibu wa Mh Rais Samia kupitia Waziri Wake Dr Mwigulu nchemba na...
7 Reactions
46 Replies
3K Views
Bavicha walienda Kanisa Katoliki kumuombea mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ambaye yuko gerezani lakini baadhi yao walikamatwa na vyombo vya usalama kwa kuleta usumbufu " Ibadani" Leo askofu...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
CHADEMA na Vyama vingine vya upinzani wakati umefika sasa mkae chini na kujitafakari! Tena mjitafakari na kuwa wakweli nafsini mwenu kwamba siasa mnazofanya ni kwa maslahi ya familia zenu huku...
12 Reactions
70 Replies
5K Views
Hongera kwa kukusanya TOZO ya dhuluma, mnataka kujenga vituo vya Afya ambavyo "vilianza kujengwa" tangu enzi za JK....sina tatizo! Tatizo langu ni lile sharti kwamba "Ujenzi" ufanywe na wale...
15 Reactions
70 Replies
7K Views
Kumekuwa na mkakati mkali wa BAVICHA na BAWACHA kupata fedha na kuwalipa vijana wa vijiweni mikoa yote ili waandike maneno MBOWE si GAIDI kwenye mawe na miti mikubwa mikubwa pembezoni mwa barabara...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuhusu chanjo ya Johnson and Johnson, Leo nimesikiliza vizuri Serikali ikizungumzia hili suala na Mh. Raisi amezungumza kuwa unapata chanjo moja tu. Hapa kuna jambo halipo sawa, kwa taarifa...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Viongozi na wanachama 19 wa Chadema waliofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza leo Agosti 19, wameachiwa huru kwa dhamana baada ya kusomewa shtaka lililokuwa linawakabili la...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mhe. Gwajima anatumia nyumba ya ibada na amekuwa akitumia nyumba ya ibada kutekeleza mahitaji yake ya kisiasa ikiwemo kudhalilisha watu. Lakini pia mara zote amekuwa akienda mbali zaidi na...
0 Reactions
2 Replies
916 Views
Rais Samia amesema wazo la kuweka wasimamizi wa uchaguzi wa kudumu katika kata na wilaya zote lina changamoto zake. Rais Samia amesema ni gharama kubwa kuweka wasimamizi wa uchaguzi wa kuajiriwa...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom