Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mfumo wa forced account ni mfumo wa taasisi kufanya kazi bila kufuata sheria ya manunuzi ikiwemo standard za utoaji tenda. Kupitia forced mkurugenzi, madiwani na viongozi wengine watafungua...
19 Reactions
50 Replies
10K Views
Ndugu zangu! Wananchi wanapendekeza Mh. Mussa Azan almaarufu 'Zungu' ajengewe sanamu la kumbukizi, au angalau apongezwe hadharani na kutunukiwa nishani. Hoja yake binafsi ya TOZO imeonekana kuwa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Hayati Magufuli aliweza kujenga barabara na miundombinu yake tangu akiwa waziri wa Mkapa hadi anakuwa Rais lakini watanzania hawakuliona hilo Wajazeni wananchi fedha mifukoni ndipo mtaiona furaha...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Sisi watu wa Mungu hatuwezi kuwa chini ya wanasiasa sababu tunamtumkia Mungu Mkuu aliye hai. Vyote vitapita. Sisi watumishi wa Mungu ni sauti ya Mungu. Na ataksyebishana nasi...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
UJUMBE WA MUNGU KWA LISU NA MAGUFULI Na, Robert Heriel ZINGATIA; Maneno yaliyowekolezwa (Bolded word) Ama kwa hakika hakuna kazi ngumu kwa binadamu kama kusema ukweli na kutenda kwa haki. Haya...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Serikali inayokkaribia kufeli, ukiona wananchi wanawekewa maneno mdomoni na watawala kwamba wamekubali mambo fulani. Ukiona wananchi wakilazimishiwa fulani awe kiongozi. Ukiona serikali inakosa...
2 Reactions
5 Replies
989 Views
Mimi mara ya kwanza nilikua mpingaji mkubwa wa tozo ya jengo, nilipinga sana nikwa najiuliza kwanini tulipie kodi ya jengo hata ambao tumepanga. Lakini baada ya kujifikiria kwa kina nimeona huu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bwana Yesu apewe sifa! Itakuwa ni safari ya kitume ambapo wagonjwa na wenye shida mbalimbali waliopo gerezani tutawaombea. Kwa pamoja tutamwomba Mungu awape wepesi katika mitihani wanayoipitia...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Walisema wameongeza shilingi 100 kwenye mafuta kwa ajili ya barabara, wakaanzisha makato kwenye miamala wakadai ni kwa ajili ya barabara, wakakopa trilioni 2.7 kwa ajili ya barabara. Kwa nini...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Unajua kwanini gharama za maisha zimepanda kwa kipindi hiki kifupi? Labda nianzie hapa. Kwa kipindi cha karibu miaka sita cha mnyonge mnyongeni, wanyonge waliishi kama malaika wakati matajiri...
15 Reactions
50 Replies
4K Views
Benki kuu ya Tanzania imetoa muongozo wa benki za biashara kupunguza riba kwa sekta binafsi. Benki kuu imetenga fungu la Trilioni moja ambayo itatumika kuzikopesha benki na taasisi za fedha kwa...
12 Reactions
78 Replies
9K Views
Poleni UVCCM, Poleni sana! Poleni LMB7, Poleni sana! Poleni MATAGA, Poleni sana! Poleni CHAWA wote, Poleni sana! Hii ni CCM toleo la nne na kimsingi ndio toleo la mwisho, hakuna CCM nyingine...
74 Reactions
185 Replies
14K Views
Habari wanaJF, Watanzania tunajiuliza kwa nini Rais wetu wa sasa anaruhusu mambo haya. Una ajenda gani? Je, wewe hutambui wananchi wako walivyo maskini na fukara sana?! Ngoja niwaoneshe, Chini...
50 Reactions
163 Replies
15K Views
Dear Mr. IGP, Esq; Simon Sirro 1. When a matter is in Court, U are no longer the spokesperson in terms of the charges, or the evidence to be adduced in that regard. U, and those subordinate to...
97 Reactions
178 Replies
22K Views
Watz wanawasiwasi na chanjo ya uviko 19 kutoka kwaabeberu. Hata hivyo vitabu vyote vya elimu mashuleni, vya mitaala, kiada kwa miaka zaidi ya 10 vinafadhiliwa na pesa za mabeberu. Ukitafakari...
12 Reactions
17 Replies
2K Views
Dkt. Mwigulu Nchemba amesikika hadharani akisema miamala ya simu haijaathirika na uwepo wa tozo mpya kwa jina la uzalendo: Hii si kweli na huu ni ushahidi ukiwahusisha mawakala na wenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe Mkoa wa Kagera, Dk. Benson Bagonza ametoji maswali nane juu ya tozo za miamala ya simu na majengo. Anaripoti...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema chama chake hakilazimi kutumia Baraza la vyama vya siasa kufanya mkutano na Rais Samia Suluhu Hassan Lisu amesema Chadema ni chama kikuu cha...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Bwana Yesu asifiwe! Tozo ni nini? Kuna ununifu wowote katika kuanzisha tozo fulani? Ni hayo tu wapendwa. Mungu ni mwema wakati wote NA Wakati wote Mungu ni mwema!
2 Reactions
29 Replies
7K Views
Nimekuwa najiuliza kama CHADEMA ndio chama kikuu cha upinzani Tanzania ni dhahiri pia ndio chama kinachochukiwa zaidi na chama tawala kwa siasa za Afrika. - Hebu jiulize siku Mh.Tundu Lissu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom