Nimekuwa najiuliza kama CHADEMA ndio chama kikuu cha upinzani Tanzania ni dhahiri pia ndio chama kinachochukiwa zaidi na chama tawala kwa siasa za Afrika.
- Hebu jiulize siku Mh.Tundu Lissu...
Kwa style hii kweli CHADEMA wataweza Kujenga Chama chao na hadi Kutushawishi na Sisi Watu wengine tusio na Chama bado Kujiunga Kwao ili kwa pamoja tuandamane Barabarani Kushinikiza Mshukiwa Ugaidi...
Kwamba kwa nyumba za kawaida tutakatwa buku kila mwezi.
Waliopanga kwenye magorofa buku tano.
Hivi hawa wabunge ni wawakilishi wa wa wananchi?
Hakuna jinsi wacha tuwalipie kodi wenye nyumba.
Kuna mambo ambayo nakubaliana na hayati Magufuli khasa katika utekelezaji wa sera za CCM hususani dira ya maendeleo ya 2015-2025.
Hayati Magufuli alitaka kila mradi khasa ile miradi mikubwa...
Nafuatilia kwa makini jinsi taasisi za serikali zinavyozidi kujitokeza kutoa gawio (dividends) kwa serikali.
Nimeona hadi vyuo kama SUA, IFM nk vikitoa gawio sambamba na wakala mbalimbali za...
Katika gazeti la Raia Mwema la leo, Jumatano, August 18, 2021, kuna habari kwamba Waziri Mkuu, Majaliwa, amewapa TAKUKURU na DPP siku nne kuwafikisha mahakamani watuhumiwa fulani wa ufisadi. Haya...
Haijalishi kuwa mmekusanya bilioni 48 kwa mwezi! Hii ni dhuluma kwa mwananchi wa kawaida. Natuma elfu kumi. Nakatwa VAT na tozo. Pesa ile ambayo namtumia mama yangu kijijini naye anakatwa tozo...
Msomi wa hadhi ya Phd ya uchumi bila aibu anaongea mbele ya luninga ya taifa kuwa serikali ikilipa madeni kutakuwa na mzunguko wa pesa hivyo mzigo wa tozo za miamala ya simu utakuwa stahimilivu...
Wakuu, natumai hamjambo!
Mbali na CHADEMA, walioonesha nia ya dhati ya kutoshiriki hafla ya kukabidhi report ya uchaguzi 2020 inayotarajiwa kufanyika Leo , tar 21/8/2021, Vyama vya ACT na NCCR...
Mh waziri ukweli ni kwamba Mh Zungu anakudanganya utarudisha huo uwaziri kwa mama siku zinahesabika.
Hivi wewe Mwingulu na PhD yako ni wa kuokota mawazo ya kijinga ya Zungu? Uzalendo haupimwi kwa...
Kutokana na sera zake wakati anagombea uraisi, alisisitiza kwa dhati kuwa anataka watanzania wale milo 3 ya uhakika kuku na nyama iwe kawaida.
Wanafunzi wangesoma kisha wanashiba ubwabwa wa bure...
Salaam Wakuu,
Afisa Biashara Manispaa ya Ilemela, amelalamikiwa na Wafanyabiashara wadogo kwamba anafanya kazi kwa kukomoa na hasikilizi Matatizo yao.
Wafanyabiashara wadogo Manispaa ya Ilemela...
Nauliza tu wataalamu wa mambo ya serikali ya muungano maana naona ndugu zetu Wazenji ni kama wameishia kwenye Unaibu Waziri.
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Mungu ni mwema wakati wote!
Zambia imewezekana Mara nyingi na hata Malawi hapa kwetu Kuna wahuni wanajiita polisi (sio JWTZ hawa wanaheshimika) na wahuni wengine ni CCM kama mnaamini mnapendwa sana na watanzania na kwamba...
Tumepokea mwaliko kutoka Kwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kwa ajili ya Mwenyekiti Taifa, Katibu Mkuu, aliyekuwa mgombea urais na aliyekuwa mgombea wa umakamu wa urais kuhudhuria hafla...
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imeanza kupokea Tsh Bil 22 kutoka Wizara ya Fedha na Mipango zitokanazo na tozo ya Mawasiliano na fedha hizo zinakwenda kujenga vituo vya Afya 90...
Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi.
Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano...
Habari za asubuhi!
Leo kuna mtu alipost jambo humu akanikumbusha jambo, nikaingia library kupekua nikakutana na picha za matukio kadhaa ya nyuma yaliyofanywa na viongozi wetu.
Hebu icheki hii...
Alisikika Mh. Rais kuwa tozo kwenye miamala ya simu zimeridhiwa na wananchi kwa maslahi yao.
Mapema aliwahi kusikika Dkt. Mwigulu akisema tozo zenyewe ni ndogo tu.
Bila shaka msomi huyu alisahau...
Shahidi wa pili katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya, Numan Jasin (17) amewatambua kwa kuwashika mabegani Sabaya na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.