Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari wadau..! Katika moja ya Halmashauri ambazo zina changamoto nyingi sana ni hii Temeke kwa hapa Dar es Salaam. Temeke ina kero nyingi sana zikiwapo matumizi ya madawa ya kulevya kwa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Taifa la watu milioni 60 ambalo wengi Ni watoto na hakuna dawa mahospitalini linawaza kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku ndani ya kiwanda kimoja, tunaelewana? Kwanza napinga uzalishaji wa...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Hiki chama ..kinatakiwa kufutwa haraka sana . Watu wengi wenye nia ovu na Taifa letu wamejifichà katika kivuli cha hiki chama. Wananchi wengi wanahitaji Amani ya kweli. :pPendekezo msajiri ebu...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Huu ndio ulikuwa mradi wa kwanza kabisa mkubwa na wa Uhakika wa Maji safi ya bomba Wilayani Kyela , ulianzia Kasumulu ukapita Lubele, Mbako, Kilasilo, Ibungu, Lupembe, Muungano, Ikolo hadi ziwani...
13 Reactions
21 Replies
3K Views
Rais SSH ulisema suala la tozo linafanyiwa kazi na muda si mrefu litatolewa uamuzi. Kitu cha kushangaza uamuzi baada ya kufanyika wewe umejificha Ikulu anamtuma waziri wa fedha kuja kulitolea...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Heshima sana wanajamvi, Askofu Mkuu sana Dkt. Gwajima kaja na style ya aina yake katika kuomba kura jimbo la Kawe. Mosi Dr Gwajima kaja na ahadi ya kutuletea maboat ya uvuvi vijana wa Kawe...
12 Reactions
78 Replies
11K Views
"Mliobaki mnajifunza sasa, sio kila mtu anapenda Askari Polisi wala Vyombo vya Dola, kwa sababu wakati mwingine tunaambiwa tunatumia nguvu sana au hatutendi haki, lakini yanapotokea hapa sisikii...
0 Reactions
4 Replies
859 Views
Wadau Nawasalimu.Kwa heshima na Taadhima naomba Kuelimishwa kama Raia wa Nchi hii. [emoji117]Je iwapo Chama cha Siasa Kinataka Kufanya MKUTANO wa Ndani au wa HADHARA kwa WANACHAMA wake ni...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kutopewa hati ya wito ni miongoni mwa sababu zilizotajwa na mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa ashindwe kufika mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuendelea na shauri la tuhuma...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimeshawahi kusikia Watanzania wakiwalalamikia Marais waliopita kwamba hawakufanya mambo ya maana makwao kama Baba wa Taifa hakufanya mambo ya maana Musoma vivyo hivyo Mkapa hakufanya mambo ya...
9 Reactions
81 Replies
6K Views
Kimsingi kuna kitu hakifahamiki vizuri kwa wananchi, vyombo vya usalama nacho ni neno UGAIDI na kama wanakifahamu vizuri basi wanapotosha purposely. Neno ugaidi lina maana ya Tishio, au kitendo...
18 Reactions
77 Replies
8K Views
Mchungaji Matsai wa KKKT kimara amewataka waumini wake kuchukua tahadhari zote za Corona hasa kunawa mikono kila wakati kwani ugonjwa huu upo na unauwa. Matsai amesema waumini wawili wa Kanisa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Jerry Silaa ambaye ni mheshimiwa mbunge wa ukonga kwa tiketi ya CCM, leo saa 4 asubuhi anatazamiwa kuletwa mbele ya kamati ya maadili ya bunge akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi. Aidha...
7 Reactions
151 Replies
12K Views
Afisa balozi Wa Tanzania nchini Malaysia APOLONILA MWANGOSI amefariki Hapohapo baada ya gariyake kuingia kwenye maji. ==== Ofisa Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia, Apolonia Mwangosi (46)...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Mdau mkubwa wa maendeleo wa Tanzania Denmark anasema kuwa wanataka kuhakikisha watu wao wako salama kwenye Dunia inayozidi kupoteza muelekeo wa kidemokrasia na HAKI za Binadamu. Wameyasema haya...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Jeshi la polisi ni chombo muhimu sana kwa ulinzi wa taifa lolote lile. Hiki ni chombo amabacho kina jukumu la kulinda usalama wa raia na mali zao. Lakini katika kulinda usalama wa raia na mali...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hamza anaweza kuwakilisha kundi la wakosa haki, anaweza kuwakilisha kundi la watu wenye tatizo la akili, anaweza kuwakilisha kundi la watu wenye msimamo mkali waliokosa cancelling, anaweza...
1 Reactions
8 Replies
862 Views
Taarifa zinasema kwamba kabla ya Uteuzi huu alikuwa Katibu mwenezi wa ccm Wilaya ya Tanga Bado haijajulikana kama ana uzoefu mwingine wowote wala kiwango chake cha elimu
6 Reactions
42 Replies
9K Views
Kwema Wakuu! Kama nilivyoeleza kwenye heading hapo, suala la ulipaji Kodi Kwa sisi Watanzania ni kipengele. Watanzania wengi wetu Kama sio wote hatupendi kulipa Kodi. Hata wanaolipa Kodi ni...
10 Reactions
76 Replies
5K Views
Labda wengine mnajua, ila binafsi tunashindwa kuelewa nchi inaelekea wapi. To be honest, licha ya mapungufu yake kama Rais JPM nchi ilikuwa na direction. JPM alifanikiwa kuweka direction ya nchi...
25 Reactions
81 Replies
7K Views
Back
Top Bottom