Wananchi wa kata ya Ndato wamekubaliana kwa kauli moja bila kujali itikadi zao kuchangia ujenzi wa Jengo hilo la kata la Chadema ambalo ndani yake kumepangwa kuwa na Maktaba ya kusomea wanafunzi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anawaapisha Viongozi mbalimbali aliowateua wakiwemo;
1. Prof. Elisante Ole Gabriel kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania
2...
Nyie kila jambo baya dhidi ya taifa letu mnaona ni zuri na mnafurahia na kukenua meno. Hii ni kasumba mbaya sana na kukosa utu na uzalendo.
Taifa stars ikifungwa mnakenua meno, majanga ya kila...
Kikeke alimuuliza swali repota wake kutoka Dar kuwa huyo rais wa Zambia je unadhani atashirikiana na viongozi wengine wa vyama tawala ambavyo ni vya ukombozi akiwa na maana vyama kama CCM, ZANU PF...
Habari wakuu hapa tiyari nimelipa kodi ya jengo 2000 nimenunua umeme wa 5000, serikali wamefanya yao!
Kimsingi najivunia kuwa mzalendo, maana wapinzani wametuchelewesha sana, mambo kama haya...
Mapema September mwaka 2020 wakati wa kampeni za uchaguzi mama yetu alisema askari akikosa risasi tatu anafukuzwa kazi.
Natoa pole kwa ndugu na jamaaa na watanzania kwa askari wawili waliopoteza...
Kyela ni miongoni mwa Wilaya kongwe kabisa za Tanzania , lakini ni Wilaya ya mwisho kabisa kufaidi keki ya nchi hii , kwa miaka yote tangu uhuru imeongozwa na Wabunge wa ccm tu , akiwemo yule...
Akiongea na umma kwenye uzinduzi wa bodi ya maji Arusha( AUWASA) amesema ikifika mwaka 2025 haoni sababu ya kuacha kuhudumia wana Arusha kwani uwezo anao sana na wamemkubali sana wana Arusha kwa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema Uchaguzi Mdogo katika Majimbo ya Konde (Mkoa wa Kaskazini Pemba) na Ushetu (Shinyanga) utafanyika Oktoba 09, 2021
Wagombea watachukua fomu kuanzia 13-19...
Ikulu ya Magogoni leo Mchana
Rais Samia Suluhu Hassani leo Jumatano Agosti 25 amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mheshimiwa Raila Odinga
Dodoma.
Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa amefika katika Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuhojiwa baada ya jana Kamati hiyo kutoa ombi kwa Spika wa Bunge Job, Ndugai...
1. Ninashauri bodi ya mikopo ya elimu ya juu isikie ushauri uliotolewa na Mheshimiwa waziri wa wizara ya mawasiliano juu ya matumizi ya TEHAMA.
Achaneni na mambo ya kuwaomba waombaji wa mikopo...
Baada ya kufanya ziara katika maeneo ya Kichwele na Salem Mkoa wa Kaskazini Unguja, nimeamua kubadili matumizi ya mashamba ya mpira kuyafanya kuwa maeneo ya viwanda kufuatia mashamba hayo...
Nawasalimia wana jukwaa la Great Thinkers!
Kuna usemi unasema siku hizi ogopa Mungu na Technolojia. Hii imekuja kuwaumbua watu wengi sana ambao walisema mambo tofauti na mambo ambayo walikuja...
Awamu ya kwanza ya Vituo vya Afya 90 kati ya 207 katika Tarafa zisizo na Vituo vya Afya, ambazo zimepokea fedha Mil. 250 kwa ajili ya ujenzi wa Jengo la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD), Jengo la...
Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kuwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata...
Mwandishi wa Habari wa #kingsfmradio (Jina limehifadhiwa) amezuiliwa kuhudhuria kikao cha baraza la Kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoani #Njombe kwa sababu ambayo haikuwekwa wazi.
Mtendaji wa...
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.