Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Aliyekuwa mbunge wa vunjo mwaka 2000 - 2005 Meja Jesse Jeremiah Makundi (TLP) amefariki dunia leo alfajiri Kilema Hospital alipokuwa akipata matibabu. Pia alipata kuwa Diwani wa Mwika Kaskazini
3 Reactions
21 Replies
6K Views
Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Tawala CCM leo amekabidhi mifuko 100 kwa Kanisa la TAG Kata ya Olmot Arusha Hongera Gambo kwa kuwa mfano wa kuigwa na kuamua kujiwekea hazina mbinguni
1 Reactions
35 Replies
3K Views
WARAKA WA KWANZA KWA RAIS, MHE. SAMIA SULUHU Kwa Mkono wa, Robert Heriel Mwana wa Nyota ya Tibeli, nalikuandikia haya nikiwa Njombe, Kwa amri ya Mungu wetu aishiye sirini, mola wetu mlezi. Kwa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwema Wakuu!! Moja ya mambo ambayo yananikera, yananifanya nisiishi Kwa Amani, nisiishi Kwa furaha ni kuona kundi Fulani linanyanyaswa. Kwa kweli katika vitu navichukia kuliko vyote ni kuona...
2 Reactions
5 Replies
941 Views
When addressing the editors at the state house president SSH expressed her dreams of re-branding Tanzania. "Tanzania must be rebranded so as to polish it's tainted mage to the international...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
"Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa...
4 Reactions
58 Replies
5K Views
Dodoma. Safari za ndege kutoka Tanzania kwenda India zitarejea kuanzia kesho Jumapili Agosti 29, 2021. Mei 2021 Serikali ya Tanzania ilitangaza kusitisha safari za ndege kutoka Tanzania kwenda...
3 Reactions
60 Replies
5K Views
Akina mama wa mkoa wa Mbeya wameamua kuonyesha kuwa wao wapo kwa ajili ya kuwatetea na kuwapigania wale wanaoonewa ndani ya nchi yao. Wamekutana na kuimba nyimbo za kimapinduzi kuwajulisha umma...
13 Reactions
14 Replies
1K Views
Dawa ya moto ni moto, ili katiba mpya ipatikane basi ni mwendo wa makongamano uanze. Kama lile la Mwanza liliwatetemesha na kukubali matokeo basi tujipange kama chama tuanzishe makongamano tena...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Nashangaa kwa @ccm_tanzania kumkana kada wao Hamza aliyefanya mauwaji dhidi ya Polisi, sisi kama Chama tunawapa Pole Chama Cha Mapinduzi kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza, wasione aibu" James...
33 Reactions
75 Replies
7K Views
Wakati kesi ya ugaidi dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ikitajwa mahakamani kesho, kiongozi huyo amekuja kivingine akifungua kesi ya kikatiba...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema iko nchi moja hataitaja jina GB 1 ya intanet unanunua kwa dola 15. Hivyo hapa Tanzania bei za Huduma za mawasiliano ni za chini na zinaridhisha...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Wasalaam. Kama taifa ni kama tumepoteza dira na matumaini kwani miongoni mwetu tunaishi na manung'uniko, visasi, uhasama, dhulma, na kuombeana hata vifo na kupambikiana kesi za kipuuzi. Ukweli...
12 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu, Tunaweza kuwa tunalaumu sana mashitaka aliyofunguliwa mwenyekiti wa CHADEMA bila kuwa na uelewa kwamba anajihusisha na mambo hayo au hajihusishi. Kufuatia press meeting aliyoifanya IGP...
9 Reactions
68 Replies
11K Views
Kwa heshima na taadhima naomba niweke mada hapa. Recently Mzee Sirro ambaye inasemekana ni "Mseminari" MTU mwenye staha, heshima, utu, hali uzazi (mzazi), kiongozi; amekua akitoa matamshi...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Nimeona baadhi ya watu wanahoji kwanini polisi hawakumkamata Hamza na badala yake walimuuwa. Nawashauri wamtazame Hamza alivyoishika ile bunduki.
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Taarifa ya Edward Simbeye ambae ni Mkuu wa Idara ya Uenezi wa chama hicho imesema polisi wamedai ni marufuku kwa vyama kufanya vikao vyovyote bila kibali maalum toka polisi. " Polisi wenye Silaha...
1 Reactions
59 Replies
7K Views
Ni wakati sasa kwa Rais kufanya ziara mikoani kujionea wananchi wanataka nini kipindi hiki maana asilimia 60 ya Watanzania wanapitia kipindi kigumu kutokana kila mtu sasa hivi amejiachia kwenye...
2 Reactions
3 Replies
886 Views
Akizungumza na waandishi wa habari James Mbatia amesema Freeman Mbowe sio gaidi bali magaidi ni polisi wanaochochea chuki kwa wananchi James Mbatia amesisitiza Kitendo cha Polisi kuingilia na...
15 Reactions
11 Replies
1K Views
Mbunge wa Nzega Mjini (CCM) Hussein Bashe amesema anaona kuna tatizo kubwa sana serikalini na ama mawaziri na wataalam wamekataa kufikiri ama wameamua kutegeana. Bashe ameyasema hayo bungeni leo...
6 Reactions
80 Replies
12K Views
Back
Top Bottom