Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa ukonga mh Jerry Silaa amesema katika majukumu ya kuwatumikia wananchi ni lazima kusema ukweli na kumtanguliza Mungu na hakuna binadamu wa kuabudiwa. Silaa amesema haya mara baada ya...
39 Reactions
77 Replies
10K Views
Mama Samia unaingizwa chaka na wasaidizi wako, mwaka 2025 CCM itakuwa na kazi ngumu ya kuwashawishi wapiga kura. Wakina Mwigulu ni Wapambe wasaka tonge wa 2025. Kama kichwa cha habari kinavyosema...
6 Reactions
50 Replies
5K Views
Kama kusema kuwa wabunge hawalipi kodi ndio sababu ya wewe kuitwa kwenye Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge, nakushauri uweke hadharani salary slip yako kabla ya kufika mbele ya kamati...
8 Reactions
22 Replies
4K Views
Kutoka Kisutu, Mbowe anashitakiwa kwa makosa mengi ikiwemo kula njama na kusabisha majeraha kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya Hai, Lengai Ole Sabaya Kazi ipo. Pia soma Sabaya asema alinusurika...
4 Reactions
83 Replies
9K Views
Bado haijafahamika alichoteta na Mkurugenzi wetu Maxence Melo , bali muda wote wa mazungumzo yao wote walionekana kuwa na nyuso zenye bashasha , jambo lililoashiria amani kutawala . Mungu...
27 Reactions
76 Replies
7K Views
Mandiko yanasema, Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, Hivi mandiko yanaposema hivyo huwa inamaanisha nini? Mambo yanayohitaji utumie nguvu zako kuyakabili na inawezekana kufanya hivyo...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Latifa Mohamed Khamisi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Biashara Tanzania (TANTRADE) Anachukua nafasi ya Edwin Rutegaruka aliyeteuliwa kuwa Balozi. Kabla ya...
6 Reactions
96 Replies
13K Views
Amesikika waziri Gwajima akisema wanaandaa takwimu za hali ya ugonjwa wa Corona nchini. Watu wanapoendelea kufa huku takwimu zikiendelea kuandaliwa bila mwisho, ina maana gani? Inachukua muda...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuwasikiliza Wataalamu katika suala la Chanjo ya COVID19. Asema ni muhimu kuchanja kwasababu inasaidia kupunguza makali ya Ugonjwa...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Ingekuwa sawa kama ongezeko la tozo za miamala na mafuta kwa wanyonge lingelenga kwenda kununua meli kubwa za uvuvi ili tuvue kisasa kwenye kina kirefu, kununua matrekta kwa wakulima ili walime...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Huku sio kuchafuana au kupakana matope bali ni kukosa busara za kisiasa. Maana huwezi kusema kuwa ni Chadema yetu au Ccm yao itachafuka kwa upuuzi wa kutunga mitandaoni. Hili ni tukio baya la...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Ukiondoa Baba wa taifa ambaye aliondoka IKULU akiwa ajaiba hata sent ya umma wala kuwaumiza Watanzania kwa maslahi yake Pia Rais Mwinyi amabaye alifanya mambo makubwa kujenga uchumi wa nchi...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Serikali Ni nzuri ndugu zangu japokuwa wanaohirabu na kuiwekea skendo Ni watumish wachache. Inaoneokana Serikali Ina hela Sana lakini wananchi wachache wameshika pesa nyingi Sana Sasa Serikali...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM. Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina...
29 Reactions
140 Replies
11K Views
SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, amesema Bunge liko tayari kufanya marekebisho yatakayohitajika kwenye tozo za miamala ya simu zilizopitishwa wakati wa mkutano wa Bunge uliopita. Aliyasema hayo jana...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Tabia ya polisi wa Tanzania kuwatisha, kuwapiga na kuwaumiza wananchi wanaotumia haki yao ya kuhoji utendaji wa serikali inazidi kuota mizizi na kuibua maswali kuhusu wajibu wa polisi kwa raia...
15 Reactions
45 Replies
5K Views
Kutoa taarifa za uhalifu za kila namna ndio wajibu wa kila mtanzania. Kulipenda taifa letu kwa moyo wote. Kuwa walipa kodi ili ziweze kusaidia watanzania kwa hali yoyote ni jambo la msingi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu Kazi Iendeleee. Taarifa zilizopo ni kwamba Rais Samia ana ziara ya kikazi nchini Congo. Ataanza ziara hiyo wakati atakapotoka Zambia kwenye inauguration ya Hakainde Hichilema. Akifika...
55 Reactions
344 Replies
23K Views
Salamu zake ni hizi: Natoa pole kwa Jeshi la Polisi na familia za Askari 3, na Askari 1 wa kampuni ya ulinzi ya SGA waliopoteza maisha baada ya mtu aliyekuwa na silaha kuwashambulia katika eneo...
8 Reactions
71 Replies
8K Views
Nimeshangazwa sana na uamuzi wa kumzawadia mzee Ally Mwinyi gari aina ya Mercedes lenye thamani ya mil 450. Kwani kwa umri wake huyu mzee anahitaji gari kama hilo la nini? Kama magari...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom