Mchungaji Matsai: Tumepoteza waumini wawili kwa Corona ambao Jumapili iliyopita tulisali nao leo hawapo, jamani tuwe serious!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
51,003
2,000
Mchungaji Matsai wa KKKT kimara amewataka waumini wake kuchukua tahadhari zote za Corona hasa kunawa mikono kila wakati kwani ugonjwa huu upo na unauwa.

Matsai amesema waumini wawili wa Kanisa lake wametangulia mbele za haki wiki hii akiwemo muimbaji wa kwaya kuu

Mchungaji Matsai amesisitiza washirika kushiriki meza ya Bwana kila jumapili kwao hakuna kinga iliyo kuu kuizidi damu ya Yesu, na Masihi mwenyewe ndio mkuu wa sayansi.

Source: Upendo tb
 
3 Angels message

JF-Expert Member
Aug 3, 2017
3,605
2,000
Kwa hiyo amefunga kanisa ili azuie vifo zaidi hapo kanisani kwake au baada ya maelezo hayo ametoa suluhisho lipi kwa hapo kanisani kwake
 
Mathare-Lamu

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
384
250
Mchungaji Matsai wa KKKT kimara amewataka waumini wake kuchukua tahadhari zote za Corona hasa kunawa mikono kila wakati kwani ugonjwa huu upo na unauwa.

Matsai amesema waumini wawili wa Kanisa lake wametangulia mbele za haki wiki hii akiwemo muimbaji wa kwaya kuu

Mchungaji Matsai amesisitiza washirika kushiriki meza ya Bwana kila jumapili kwao hakuna kinga iliyo kuu kuizidi damu ya Yesu, na Masihi mwenyewe ndio mkuu wa sayansi.

Source: Upendo tb
Pole sana mkuu
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
25,999
2,000
Mwendazake alipotosha sana watu kuhusu corona hadi wakuu wa dini nao wakaingia mkenge.

Rais Samia kaja, wote sasa wamefanya u-turn.....nchi isiyokuwa na focus...kauli za watu zinapogeuka sheria za nchi ...kupata maendeleo ni ndoto.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
51,003
2,000
Mwendazake alipotosha sana watu kuhusu corona hadi wakuu wa dini nao wakaingia mkenge.

Rais Samia kaja, wote sasa wamefanya u-turn.....nchi isiyokuwa na focus...kauli za watu zinapogeuka sheria za nchi ...kupata maendeleo ni ndoto.
Mwendazake alipotosha nini bwashee?!
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
16,451
2,000
Mchungaji Matsai wa KKKT kimara amewataka waumini wake kuchukua tahadhari zote za Corona hasa kunawa mikono kila wakati kwani ugonjwa huu upo na unauwa.

Matsai amesema waumini wawili wa Kanisa lake wametangulia mbele za haki wiki hii akiwemo muimbaji wa kwaya kuu

Mchungaji Matsai amesisitiza washirika kushiriki meza ya Bwana kila jumapili kwao hakuna kinga iliyo kuu kuizidi damu ya Yesu, na Masihi mwenyewe ndio mkuu wa sayansi.

Source: Upendo tb

Corona ipi tena? Kwani vita vya kiuchumi viliisha au basi nani alishinda?
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
17,985
2,000
Mchungaji Matsai wa KKKT kimara amewataka waumini wake kuchukua tahadhari zote za Corona hasa kunawa mikono kila wakati kwani ugonjwa huu upo na unauwa.

Matsai amesema waumini wawili wa Kanisa lake wametangulia mbele za haki wiki hii akiwemo muimbaji wa kwaya kuu

Mchungaji Matsai amesisitiza washirika kushiriki meza ya Bwana kila jumapili kwao hakuna kinga iliyo kuu kuizidi damu ya Yesu, na Masihi mwenyewe ndio mkuu wa sayansi.

Source: Upendo tb
Magufuli was a dissaster. Nahisi hata hakufa kwa ugonjwa, wenda system iliona jamaa ataangusha nchi wakaamua kumfyekea mbali.
 
dolevaby

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
12,515
2,000
Mwendazake alipotosha sana watu kuhusu corona hadi wakuu wa dini nao wakaingia mkenge.

Rais Samia kaja, wote sasa wamefanya u-turn.....nchi isiyokuwa na focus...kauli za watu zinapogeuka sheria za nchi ...kupata maendeleo ni ndoto.
Habari ya upepo
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
30,433
2,000
Hayo maombi yake ya kuombea wagonjwa huwa Yana kazi gani?

Kama waumini wake wanakufa kwa Corona
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
25,999
2,000
Mwendazake alipotosha nini bwashee?!
Bwa shee unajua kila jambo....

Barakoa zina virus wa Corona, shoneni za kwenu achaneni na hizo za nje.

Wanaochoma machanjo chonjo nje ndiyo wanaletaniza ma corona mpya haya..

Hakuna chanjo kuja, watanzania msifikiri mnapendwa saana..hawa jama wanaweza kuwa na nia mbaya na nyie

Corona ni mafua mafua tu...jifukizeni mtakuwa swaafi

Tumeshafaya maombi na Mungu kasema corona Tanzania ni ndoto!! Naomba makanisa yote yafanye sara ya shukrani.

Baada ya muda ohooooo corona aka mafua mafua akafanya yake kwa stelingi.
 
mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
10,963
2,000
Mchungaji Matsai wa KKKT kimara amewataka waumini wake kuchukua tahadhari zote za Corona hasa kunawa mikono kila wakati kwani ugonjwa huu upo na unauwa.

Matsai amesema waumini wawili wa Kanisa lake wametangulia mbele za haki wiki hii akiwemo muimbaji wa kwaya kuu

Mchungaji Matsai amesisitiza washirika kushiriki meza ya Bwana kila jumapili kwao hakuna kinga iliyo kuu kuizidi damu ya Yesu, na Masihi mwenyewe ndio mkuu wa sayansi.

Source: Upendo tb
Wasilalamike wao ndio wanawafanya waumini wao wawe na viburi vya kushindwa kuvaa barakoa na kutumia vitakatishi na pia kuweka viti umbali kiasi, jana nilandika hapa kuhusu wauumini wa kanisa la `Efata la Mwingira kutovaa barakoa, kuna mwingine kaja kubweka hapa kuwa tuache tu watu wafanye wanavyotaka eti ni fitina tu ya waumini wa Mwingili utadhani wao wanapata utajirisho huku ambao mimi sina. Watu hawavai barakoa na kwenye mabasi au daladala nyomi ni kama kawa.
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
58,489

Kwa hiyo na huko corona inawachapa bila shaka?
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
37,283
2,000
Vile Corona inaringa Tanzania kwa sababu watu wengi wanakimbia chanjo😁😁😁
2876891_2226502.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom