Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima na ahadi ya kutupeleka USA

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,799
30,725
Heshima sana wanajamvi,

Askofu Mkuu sana Dkt. Gwajima kaja na style ya aina yake katika kuomba kura jimbo la Kawe.

Mosi Dr Gwajima kaja na ahadi ya kutuletea maboat ya uvuvi vijana wa Kawe. Vijana wote wa Kawe wajiandae kuvua samaki katika Bahari kuu ya Hindi.Hii ni habari njema hasa vijana wetu wasiokuwa na ajira wajiandae kupata ajira ya kuvua samaki.

Pili kabla ahadi ya kuvua haijatulia katuletea ahadi nyingine tena ya kutupeleka USA baby kule anakoishi Nyani Ngabu yaani ni raha juu ya raha ikiwa wewe ni mkaazi au mpiga kura wa Kawe.Mimi mwenyewe nafanya mpango wa kuhamia Kawe nani asiyetaka kwenda USA !.

Ahadi za Askofu Dr Gwajima ni nyingi na tamu tamu kusikia na kusikiliza lakini napata ukakasi kama kweli ana uwezo wa kuzitekeleza.Nadhani nia yake kubwa ni kupata ubunge akishaupata mambo mengine yatajiset yenyewe.

Hii si mara ya kwanza Askofu Dr Gwajima kutoa ahadi ambazo hazina kichwa wala miguu,kuna ahadi ya tren ya umeme sijui imetekelezwa kwa kiwango gani ?.Kuna ahadi kugeuza madrasa na misikiti kuwa Sunday school sijui mpaka sasa ngapi zimeshageuzwa.Kuna ahadi ya kufufua misukule sijui kama kuna ndugu anaweza kuja hapa na kutupatia ushuhuda wa ndugu yake alinyofolewa katika minyororo ya usukule.

Ngongo safari Bukoba kwasasa nipo sokoni Katerero kwa nshomile wapo gado kweli kweli.
 
Hawa CCM hamnazo na hawaeleweki kwelikweli.....

Yaani wanawaponda na kuwatukana hao wanaowaita "mabeberu" halafu wakati huohuo wanatoa ahadi za uchaguzi kutupeleka kwenda picnic kutembea kwa haohao "mabeberu.....!"

Looh, yaani tunachezeshwa huko na huko na maCCM utadhani sisi ni maharage ya Kyela, Mbeya yanayochemka kwenye safuria....!!
 
Gwajima mi namuona kama mchekeshaji flani tu hivi...
Gwajima ni mpigaji. Ana uelewa mkubwa wa namna ya ku-set watu mpaka aweze kuwatapeli. Ana covincing power ya hali ya juu hasa kwa watu wasipenda kudadisi na kutafiti kwa akili zao kama walivyo wabongo.
 
Huyo Askofu tapeli Gwajima mpigeni chini fasta.....

Kwanza yuko bize anaratibu kikundi chake cha kikabila yy na makonda.....

Nitawashangaa mkimchahua mcheza porn huyu.....

Piga chini hii ng'ombe mdini na mkabila huyo abaki na hicho kikundi cha kigaidi na waumini wake ambao wapo km mang'ombe
 

Attachments

  • IMG-20200917-WA0013.jpg
    IMG-20200917-WA0013.jpg
    63.6 KB · Views: 1
Mje’huko’ wapi?
.
Uliko wewe, Minnesota - U.S.A beebiiiii...!!

Flight Tickets za KLM zimeshalipiwa na Askofu Dr Josephat Gwajima kwa wana Kawe wote...

Mimi niko zangu Shinyanga lakini niko njiani kuhamia jimbo la Kawe - DSM kuwania offer ya kwenda USA beeebiiii....!!!
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom