Kwa utendaji huu ukimlinganisha na Hayati Magufuli, ni busara Rais Samia asigombee 2025

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,934
2,000
Labda wengine mnajua, ila binafsi tunashindwa kuelewa nchi inaelekea wapi. To be honest, licha ya mapungufu yake kama Rais JPM nchi ilikuwa na direction. JPM alifanikiwa kuweka direction ya nchi ikiwa ni pamoja na mkazo katika sector kadhaa ambazo alizisimamia ipasavyo.

Ila sasa sijui nchi inaenda na kuelekea wapi. No direction, miezi 4 nchi imesimama, hatujui direction ni ipi. Viongozi wasaidizi wa Rais nao wapo wapo, hawamshauri Rais vizuri. Naona kama viongozi washakata tamaa, hawajui waanzie wapi na kushia wapi.

JPM alisema atakumbukwa. Kwa kweli wananchi wanamkumbuka sana. Kila angle saizi ni tozo tu. Leo limekuja lingine la kupiga mziki utalimwa tozo, wenye gym utakimwa tozo. Kila angle saizi ni tozo. Namfiki washauri wanashindwa kumshauri vyema Rais.

Anyway. Ukweli ni kwamba JPM angeiacha Tanzania 2025 sehwmu bora zaidi kuliko namna tunavyoenda sasa ambapo hatujui hata uelekeo.

Kwa mantiki hiyo, akiwa na busara Mama 2025 angestafu iwe ni heshima ya kutupitisha katika mpito. But kwenye perfomance is Zero compared na mtangulizi wake
 
Lubengera

Senior Member
Jun 21, 2019
182
250
Mama anakusanya pesa.

Tatizo ni kuwa huwezi kuona impact ya makusanyo haya ndani ya kipindi cha muda mfupi!

Tusubiri, akusanye then tuone utekelezaji wa makusanyo haya, maana yake ni kuwa! matokeo ya awali ya makusanyo haya tutaanza kuyaona baada ya miezi 5 hadi sita ijayo toka sasa.

#Tozo zinauma kwakweli
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
8,923
2,000
Hahahahahaha kuna wazee wa PAYE wao kila mwezi wanakamuliwa kimyakimya, wakilalamika huwa tunawaambia hakuna tajiri aliye wahi kuajiriwa. Wakati wafanyakazi wanakamuliwa unakuta kila mwezi mtu analimwa 500K wakati huku uraiani mtu ana mtaji wa 200mil analipa makadiroo ya 2mil mwaka mzima ikiwa 500k kila miezi mitatu.

Either uweke watu wengi kwenye uzarishaji ili wazarishaji wawe wengi then ukusanye kodi kwa wengi (HII AKILI HATUNA MPAKA LEO) au uchanje watu kodi kila mahala mwisho wasiku kila mtu ataacha kuishi kizembe ili akimbizane na kipato alipe kodi.
 
Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
3,371
2,000
Nchi imesimama? Yaani kisa tozo ndiyo nchi imesimama?? Unajua nchi kusimama mkuu? Watu mishahara wanalipwa kwa wakati, miradi nikubwa yote inaendelea na mingine mipya inaanzishwa, nafasi zote za uteuzi zimejazwa (Hadi bodi ya korosho ambayo JPM wako aliipotezea), ajira mpya zimetoka na zinaendelea kutoka, watu wamepandishwa madaraja na wengine wanaendelea kupandishwa.

Covid inashughulikiwa kisayansi sasa badala ya witchcrafts, elimu bure inaendelea, mahusiano yetu na nchi ya nje yamerudi kwa speed ya SGR, viongozi miungu watu wote chali, kila kiongozi sasa ni mnyenyekevu, watu waliokuwa na makesi ya ajabu ajabu wameachiwa, wasiojulikana hatujawasikia tena, Uhuru wa kuongea umeanza kurudi (Siyo sana, but huwezi fananisha na kipindi cha JPM), na mengineyo mengi! Unaposema nchi imesimama unamaanisha nini?

Jambo pekee ambalo linamtia doa Rais kwa asilimia kubwa hadi sasa ni kukamatwa kwa bwana Mbowe, sijui hilo atalimaliza vipi, ni muda utaamua.
 
MeruA

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
1,333
2,000
Nchi imesimama?? Yaani kisa tozo ndiyo nchi imesimama?? Unajua nchi kusimama mkuu? Watu mishahara wanalipwa kwa wakati, miradi nikubwa yote inaendelea na mingine mipya inaanzishwa, nafasi zote za uteuzi zimejazwa (Hadi bodi ya korosho ambayo JPM wako aliipotezea), ajira mpya zimetoka na zinaendelea kutoka, watu wamepandishwa madaraja na wengine wanaendelea kupandishwa, Covid inashughulikiwa kisayansi sasa badala ya witchcrafts, elimu bure inaendelea, mahusiano yetu na nchi ya nje yamerudi kwa speed ya SGR, viongozi miungu watu wote chali, kila kiongozi sasa ni mnyenyekevu, watu waliokuwa na makesi ya ajabu ajabu wameachiwa, wasiojulikana hatujawasikia tena, Uhuru wa kuongea umeanza kurudi (Siyo sana, but huwezi fananisha na kipindi cha JPM), na mengineyo mengi!! Unaposema nchi imesimama unamaanisha nini??
Jambo pekee ambalo linamtia doa Rais kwa asilimia kubwa hadi sasa ni kukamatwa kwa bwana Mbowe, sijui hilo atalimaliza vipi, ni muda utaamua.
Kweli mkuu,ukiondoa tozo mpya na kukamatwa kwa Mbowe,Samia kuna mazuri kafanya kwa huu muda mfupi.
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
9,294
2,000
Labda wengine mnajua, ila binafsi tunashindwa kuelewa nchi inaelekea wapi. To be honest, licha ya mapungufu yake kama Rais JPM nchi ilikuwa na direction. JPM alifanikiwa kuweka direction ya nchi ikiwa ni pamoja na mkazo katika sector kadhaa ambazo alizisimamia ipasavyo.

Ila sasa sijui nchi inaenda na kuelekea wapi. No direction, miezi 4 nchi imesimama, hatujui direction ni ipi. Viongozi wasaidizi wa Rais nao wapo wapo, hawamshauri Rais vizuri. Naona kama viongozi washakata tamaa, hawajui waanzie wapi na kushia wapi.

JPM alisema atakumbukwa. Kwa kweli wananchi wanamkumbuka sana. Kila angle saizi ni tozo tu. Leo limekuja lingine la kupiga mziki utalimwa tozo, wenye gym utakimwa tozo. Kila angle saizi ni tozo. Namfiki washauri wanashindwa kumshauri vyema Rais.

Anyway. Ukweli ni kwamba JPM angeiacha Tanzania 2025 sehwmu bora zaidi kuliko namna tunavyoenda sasa ambapo hatujui hata uelekeo. Kwa mantiki hiyo, akiwa na busara Mama 2025 angestafu iwe ni heshima ya kutupitisha katika mpito. But kwenye perfomance is Zero compared na mtangulizi wake
Watu wenye akili za kawaida kama wewe huwezi elewa kuwa tatizo lilianza wakati wa jpm na ni kwasababu ya sera mbovu za ccm

Tuliandika Sana na kutahadharisha Sana huko nyumba, hata kabla jpm hafariki kuwa kwa sera hizi mbovu nchi inakwenda kuanguka kiuchumi.

Uchumi hauanguki ghafla kama embe mtini ni gradually, uchumi ulianza kuanguka toka 2015 mpaka 2020 ndo wanyonge kama wewe mmeanza kuona outcome

Kifo cha jpm kuapishwa kwa Samia, na kuanguka kwa uchumi imekuwa ni coincidence

Hata kabla jpm hajafa zilisikika habari kuwa alipanga kurudisha kodi ya kichwa
Kinachofanyika leo kingefanyika tu hata jpm angekuwa hai, na huenda Hali ya kuporomoka kwa uchumi ndo iliharakisha kifo chake.

Nyie ndo mlikuwa mnashangilia upuuzi na propaganda za kipuuzi eti nchi imeingia uchumi wa kati jiulizr inawezekanaje haijapita miezi sita uchumi umeporoka ghafla?

Kwa mtu anayefikiri sawa sawa atawa nyooshea kidole mfumo wa utawala wa ccm na sera mbaya kuendesha uchumi jumuishi kwa ujumla

Tungekuwa na mfumo nzuri wa kupokezana madaraka kidemokrasia ilibidi ccm wapumuzike kije chama kingine chenye sera mbadala
 
Bushesha jr

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
427
500
Nchi imesimama?? Yaani kisa tozo ndiyo nchi imesimama?? Unajua nchi kusimama mkuu? Watu mishahara wanalipwa kwa wakati, miradi nikubwa yote inaendelea na mingine mipya inaanzishwa, nafasi zote za uteuzi zimejazwa (Hadi bodi ya korosho ambayo JPM wako aliipotezea), ajira mpya zimetoka na zinaendelea kutoka, watu wamepandishwa madaraja na wengine wanaendelea kupandishwa, Covid inashughulikiwa kisayansi sasa badala ya witchcrafts, elimu bure inaendelea, mahusiano yetu na nchi ya nje yamerudi kwa speed ya SGR, viongozi miungu watu wote chali, kila kiongozi sasa ni mnyenyekevu, watu waliokuwa na makesi ya ajabu ajabu wameachiwa, wasiojulikana hatujawasikia tena, Uhuru wa kuongea umeanza kurudi (Siyo sana, but huwezi fananisha na kipindi cha JPM), na mengineyo mengi!! Unaposema nchi imesimama unamaanisha nini??
Jambo pekee ambalo linamtia doa Rais kwa asilimia kubwa hadi sasa ni kukamatwa kwa bwana Mbowe, sijui hilo atalimaliza vipi, ni muda utaamua.
Chadema wanasema anaupiga mwingi wanampenda

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
18,528
2,000
Labda wengine mnajua, ila binafsi tunashindwa kuelewa nchi inaelekea wapi. To be honest, licha ya mapungufu yake kama Rais JPM nchi ilikuwa na direction. JPM alifanikiwa kuweka direction ya nchi ikiwa ni pamoja na mkazo katika sector kadhaa ambazo alizisimamia ipasavyo.

Ila sasa sijui nchi inaenda na kuelekea wapi. No direction, miezi 4 nchi imesimama, hatujui direction ni ipi. Viongozi wasaidizi wa Rais nao wapo wapo, hawamshauri Rais vizuri. Naona kama viongozi washakata tamaa, hawajui waanzie wapi na kushia wapi.

JPM alisema atakumbukwa. Kwa kweli wananchi wanamkumbuka sana. Kila angle saizi ni tozo tu. Leo limekuja lingine la kupiga mziki utalimwa tozo, wenye gym utakimwa tozo. Kila angle saizi ni tozo. Namfiki washauri wanashindwa kumshauri vyema Rais.

Anyway. Ukweli ni kwamba JPM angeiacha Tanzania 2025 sehwmu bora zaidi kuliko namna tunavyoenda sasa ambapo hatujui hata uelekeo. Kwa mantiki hiyo, akiwa na busara Mama 2025 angestafu iwe ni heshima ya kutupitisha katika mpito. But kwenye perfomance is Zero compared na mtangulizi wake
Magufuli poor performance. Samia Poorest
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
18,528
2,000
Watu wenye akili za kawaida kama wewe huwezi elewa kuwa tatizo lilianza wakati wa jpm na ni kwasababu ya sera mbovu za ccm

Tuliandika Sana na kutahadharisha Sana huko nyumba, hata kabla jpm hafariki kuwa kwa sera hizi mbovu nchi inakwenda kuanguka kiuchumi.

Uchumi hauanguki ghafla kama embe mtini ni gradually, uchumi ulianza kuanguka toka 2015 mpaka 2020 ndo wanyonge kama wewe mmeanza kuona outcome

Kifo cha jpm kuapishwa kwa Samia, na kuanguka kwa uchumi imekuwa ni coincidence

Hata kabla jpm hajafa zilisikika habari kuwa alipanga kurudisha kodi ya kichwa
Kinachofanyika leo kingefanyika tu hata jpm angekuwa hai, na huenda Hali ya kuporomoka kwa uchumi ndo iliharakisha kifo chake.

Nyie ndo mlikuwa mnashangilia upuuzi na propaganda za kipuuzi eti nchi imeingia uchumi wa kati jiulizr inawezekanaje haijapita miezi sita uchumi umeporoka ghafla?

Kwa mtu anayefikiri sawa sawa atawa nyooshea kidole mfumo wa utawala wa ccm na sera mbaya kuendesha uchumi jumuishi kwa ujumla

Tungekuwa na mfumo nzuri wa kupokezana madaraka kidemokrasia ilibidi ccm wapumuzike kije chama kingine chenye sera mbadala
Tatizo lilianza kwa Jpm huku akitudanganya kuqa mambo ni mazuri. Hali tete ifika kiasi ambacho haifichiki tena
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
35,203
2,000
Vile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu🤡🤡🤡
AYrClH-.jpg
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
18,528
2,000
hahahahahaha kuna wazee wa PAYE wao kila mwezi wanakamuliwa kimyakimya, wakilalamika huwa tunawaambia hakuna tajiri aliye wahi kuajiriwa... wakati wafanyakazi wanakamuliwa unakuta kila mwezi mtu analimwa 500K wakati huku uraiani mtu ana mtaji wa 200mil analipa makadiroo ya 2mil mwaka mzima ikiwa 500k kila miezi mitatu.....

Either uweke watu wengi kwenye uzarishaji ili wazarishaji wawe wengi then ukusanye kodi kwa wengi ( HII AKILI HATUNA MPAKA LEO) au uchanje watu kodi kila mahala mwisho wasiku kila mtu ataacha kuishi kizembe ili akimbizane na kipato alipe kodi...
Asante Mkuu. Sisi tulioajiriwa huwa tunabezwa sana na hawa wakwepa kodi. Sasa tutakuwa sawa. Sote tulipe kodi😅😅
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom