Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kumekucha!! Tukio la Hamza ni tukio Baya la kikatili na linalohuzunisha, nimezipitia clip kadha wa kadha za tukio hilo Kwa kweli zinaumiza, zinasononesha na zinatisha mno. Sitaki Kueleza jinsi...
11 Reactions
69 Replies
6K Views
Jeshi la Polisi nchini limejipa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyotokea kwenye daraja la selander, ambapo mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Hamza, aliwafyatulia risasi askari watatu na mlinzi...
12 Reactions
42 Replies
4K Views
Nimekuwa nikimsikiliza huyu jamaa, akiwa anafanya mahojiano mbalimbali. Iwe na BBC, DW, na pia vyombo vya habari vya hapa nyumbani. Uongeaji wake huwa wanikosha sana. Jamaa ametulia, anaongea...
7 Reactions
89 Replies
18K Views
Mwenyekiti wa Nccr mageuzi James Mbatia akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi uliopita amesema wanaowazuia kufanya mkutano ndio Magaidi wa Tanzania Binafsi nadhani Mbatia amefika mbali...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Hatakama Watatuua sote hatuwezi kukubali Serikali inavyondeshwa kibabe bila kufuata Katiba, kila mtu kambale mamba masharubu tu hatuwezi kuendelea na mambo ya ajabu ajabu kama haya, kwanini hata...
20 Reactions
22 Replies
3K Views
"Huwa nawaambia siku zote, usicheze na mtu wa hovyo hovyo, usimwamini kila mtu. Walipomuona huyu mtu wa hovyo hovyo Hamza anawasogelea, walijua ni Mtanzania wa kawaida, kumbe alikuwa na pistol na...
5 Reactions
152 Replies
19K Views
Kwa wanaosoma alama za nyakati kwasasa CCM haitajwi sana kama chama cha siasa ni chadema kwasasa ndio inayotajwa zaidi Kama chama Cha siasa Tena kinachoonewa na dola. Kwasasa ni Polisi vs Chadema...
14 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JF; Kwa wachunguzi na wanaotazama kila tukio linalotokea hapa duniani kwa tafakuri na kwa macho angavu, wanaweza kuelewa kuwa mgogoro unaoendelea ndani ya CCM na serikali yake...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Wa Denish ... Hawa ni moja ya Wazungu wastaarabu sana. Nmekaa kwao, nmefanya nao kazi katika Miradi yao Mbalimbali. Sikuwahi Baguliwa, Dharauliwa au Kubagazwa. Ingawa sisemi kuwa wanakosekana...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Mtazame na msikilize mwenyewe ktk video hii. Yeye kauita huu wa kesho kuwa ni "msimamo juu ya msimamo"... Hii ndiyo sauti ya "Jitu la Mbinguni" iliayo nyikani kusema itengenezeni njia ya Bwana...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Hii ndiyo Taarifa waliyoisambaza usiku huu, sasa ni dhahiri Jeshi la polisi linapaswa kuvunjwa na kuunda upya ama IGP afukuzwe kazi. USA pamoja na Ugaidi wa kweli uliofanyika Kabul bado...
15 Reactions
52 Replies
5K Views
Kitu kinachoendelea sasa ni jitihada ya Polisi na serikali kujaribu kutoa picha kwa Watanzania kwamba Hamza hakuwa mtu mzuri na Polisi ni watu wanaofanya kazi yao vizuri. Polisi na serikali hata...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama pindi wanapoona jambo lisilo la kawaida ili liweze kuchukuliwa kwa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hili neno mwanachi limekuwa linanipa shida kidogo. Tunaomba tusaidiane, vigezo vipi vinavyotumika kama sifa za kuwa Mwananchi. Je, hivi mtu akiwa; mwalimu, askari, daktari, mchungaji...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na waandaaji wa kongamano hilo Magwiji kadhaa wa Mambo ya katiba watakuwepo na watatoa mada MUHIMU : Tufuate mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona
11 Reactions
81 Replies
6K Views
Wanna jamvi? Nimeuliza maswali mengi sana mpaka nikajikagua Mimi mwenyewe na wenzangu ninavyosikia sauti zao huku mitandaoni kuhusu kufanya Jambo ambalo unataka na wenzako washiriki kwa Nia nzuri...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Tatizo kuu la upinzani Tanzania ni kutokuwa na umoja, Kila chama kinajali maslahi yake binafsi! Kuingia katika mtifuano wa hoja na CCM ambayo inafanya kazi kwa mgongo wa kukandamiza sheria...
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Kila kitu kinachofanyika, kutendeka au kutendwa, kinapaswa kuwa katika kiwango ambacho hakipungui sana au kuzidi sana(kiwe within reasonable limits). Kwa msingi huo, hata viongozi wetu katika...
13 Reactions
34 Replies
3K Views
Sioni kama ana mikakati ya kuimarisha chama chetu. Ishu ya akina Covid 19 imemshinda kabisa pamoja na kuwa ilikuwa turufu kwetu. Sioni akipambana kupinga uonevu wa CCM kama ilivyokuwa Dk Slaa...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
  • Closed
Nsato Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi pamoja na vigogo wengine wa serikalini wanatuhumiwa kushindwa kumsaidia Mtanzania Abdulswamadu Zacharia Omary (36) anayedai...
9 Reactions
77 Replies
19K Views
Back
Top Bottom